NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWAOMBA WAKULIMA WA KOROSHO KUWA WAAMINIFU KWA WANUNUZI.

NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWAOMBA WAKULIMA WA KOROSHO KUWA WAAMINIFU KWA WANUNUZI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWAOMBA WAKULIMA WA KOROSHO KUWA WAAMINIFU KWA WANUNUZI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWAOMBA WAKULIMA WA KOROSHO KUWA WAAMINIFU KWA WANUNUZI.
kiungo : NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWAOMBA WAKULIMA WA KOROSHO KUWA WAAMINIFU KWA WANUNUZI.

soma pia


NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWAOMBA WAKULIMA WA KOROSHO KUWA WAAMINIFU KWA WANUNUZI.

Mwambawahabari
Colnely Joseph
Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Mkuranga Abdala Ulega amewaomba wakulima wa korosho kuwa waaminifu na kuacha udanganyifu kwa wanunuzi kwani kwa kufanya hivyo ni kujiumiza wenyewe na hakuna watakae mkomoa.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mkenge ulega alisema kauli hiyo kufuatia hatua ya mkuu wa mkoa wa Pwani kuagiza kukamatwa kwa Wenyeviti wa vikundi vilivyofanya udanganyifu.

Alisema ni jambo la aibu kwa wanamkuranga kufanya udanganyifu ambao unasababisha kucheleweshwa kwa fedha kutoka kwa wanunuzi kwa kuhofia udanganyifu.

"Fedha za wakulima ambazo wanunuzi wameninua zimeshaingizwa tayari lakini wanunuzi wanatakiwa kujiridhisha na mambo yakikaa sawa mtapewa" alisema


Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWAOMBA WAKULIMA WA KOROSHO KUWA WAAMINIFU KWA WANUNUZI.

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWAOMBA WAKULIMA WA KOROSHO KUWA WAAMINIFU KWA WANUNUZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWAOMBA WAKULIMA WA KOROSHO KUWA WAAMINIFU KWA WANUNUZI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/naibu-waziri-wa-mifugo-na-uvuvi-awaomba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AWAOMBA WAKULIMA WA KOROSHO KUWA WAAMINIFU KWA WANUNUZI."

Post a Comment