title : HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU CHA SOTE TUNAWEZA ILIVYOBAMBA DAR
kiungo : HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU CHA SOTE TUNAWEZA ILIVYOBAMBA DAR
HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU CHA SOTE TUNAWEZA ILIVYOBAMBA DAR
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Ave-Maria Semakafu (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Kitabu cha 'Sote Tunaweza', wakati wa hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika kwenye Bustani ya Target Mbezi Beach Dar es Salaam, jana usiku. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viva Legancy Ltd, Fortunata Temu (kulia) ni Mwenyekiti wa Kampuni hiyo, Gaudence Temu. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Viva Legancy Ltd, Fortunata, akizungumza jinsi alivyoweza kuandaa, kuandika hadi kuprinti kitabu hicho pamoja na changamoto alizopitia hadi kukamilika.
Dkt. Ave-Maria Semakafu, akikielezea kitabu hicho jinsi kilivyosheheni masuala mbalimbali yanayohusu fursa na hasa kwa vijana.
Baadhi ya Warembo wa Kampuni hiyo waliokuwapo katika hafla hiyo kuhakikisha kila jambo linakwenda sawa.
Hivyo makala HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU CHA SOTE TUNAWEZA ILIVYOBAMBA DAR
yaani makala yote HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU CHA SOTE TUNAWEZA ILIVYOBAMBA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU CHA SOTE TUNAWEZA ILIVYOBAMBA DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/hafla-ya-uzinduzi-wa-kitabu-cha-sote_23.html
0 Response to "HAFLA YA UZINDUZI WA KITABU CHA SOTE TUNAWEZA ILIVYOBAMBA DAR"
Post a Comment