title : DC INJINIA NDIKILO ATAKA KILUVYA UNITED WAIFUNGE RUVU SHOOTING JUMAMOSI
kiungo : DC INJINIA NDIKILO ATAKA KILUVYA UNITED WAIFUNGE RUVU SHOOTING JUMAMOSI
DC INJINIA NDIKILO ATAKA KILUVYA UNITED WAIFUNGE RUVU SHOOTING JUMAMOSI
MKUU wa Mkoa wa Pwani Inginia Everist Ndikilo leo ametoa hamasa kwa kuichangia timu ya Kiluvya United kiasi cha Sh. Mil.2.2 ikiwa kwa ajili ya kuweka kambi kuelekea mechi yao na Ruvu Shooting itakayopigwa Desemba 30 mwaka huu katika uwanja wa Filbert Bayi uliopo Mkuza Kibaha Mkoani Pwani ambapo timu hizo zitakutana katika kuwania kucheza Ligi Kuu Bara msimu ujao.
Injinia Ndikilo amewataka wachezaji wa timu ya Kiluvya United kucheza kufa na kupona ili iweze kupanda daraja na kuleta sifa katika mkoa wa Pwani
Injia ndikilo amesema hayo alipozungumza na wachezaji hao ofisini kwake Kibaha Mkoani Pwani huku akiwasisitiza kuibuka na ushindi kwenye mechi hiyo.
Katika hamasa hiyo Mheshimiwa Ndikilo ametoa Sh. Mil. 2.2 kwa timu hiyo inayocheza Ligi Daraja la Kwanza ambayo inawania kupanda nankuweza kuingia kwenye mzunguko wa Ligi Kuu Bara katika msimu ujao.
Kiluvya United itashuka dimbani kukipiga na timu ya Ruvu Shooting Desemba 30 mwaka huu katika uwanja wa Filbert Bayi uliopo maeneo ya Mkuza Kibaha Mkoani Pwani.
Hivyo makala DC INJINIA NDIKILO ATAKA KILUVYA UNITED WAIFUNGE RUVU SHOOTING JUMAMOSI
yaani makala yote DC INJINIA NDIKILO ATAKA KILUVYA UNITED WAIFUNGE RUVU SHOOTING JUMAMOSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC INJINIA NDIKILO ATAKA KILUVYA UNITED WAIFUNGE RUVU SHOOTING JUMAMOSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/dc-injinia-ndikilo-ataka-kiluvya-united.html
0 Response to "DC INJINIA NDIKILO ATAKA KILUVYA UNITED WAIFUNGE RUVU SHOOTING JUMAMOSI"
Post a Comment