title : Jinsi Bank ya Posta ilivyo chezesha droo ya pili ya Western Union, washindi saba walivyojishindia vitu vya thamani
kiungo : Jinsi Bank ya Posta ilivyo chezesha droo ya pili ya Western Union, washindi saba walivyojishindia vitu vya thamani
Jinsi Bank ya Posta ilivyo chezesha droo ya pili ya Western Union, washindi saba walivyojishindia vitu vya thamani
Kaimu ofisa Mtendaji Mkuu kutoka Benki ya TPB, Bw. Mshamma Mshamma (kushot) akisoma jina la mshindi katika droo ya pili ya Western union. kulia anae shuhudia ni mwakilishi kutoka Mwakilishi kutoka Baraza la Michezo ya Bahati Nasibu Tanzania, Abdallah Hemed
Baadhi ya wafanyakazi wa Bank ya TPB wakiwa katika picha ya pamoja baada kumalizika kwa zoezi la kuchezesha droo ya pili ya Western Union.
Mwambawahabari
Benki ya TPB mwishoni mwa juma imechezesha droo ya pili ya Western Union na kupata washindi 7 kutoka matawi mbalimbali .
Washindi 5 walipata simu za mkononi na 2 walipata kompyuta mpakato.
Majina hayo yalitajwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa benk hiyo Bw. Mshamma Mshamma na kusimamiwa na Mwakilishi kutoka Baraza la Michezo ya Bahati Nasibu Tanzania, Abdallah Hemed.
Washindi waliojishindia simu za mkononi aina ya Samsung J5 ni Bi. Elizabeth Lugendo kutoka Dar es Salaam, Bw.Frank Tetea kutoka Korogwe Tanga, Bw, Jafari Msaki kutoka Arusha, Bi. Rose Maluka kutoka Dodoma na B. Anna Kasoga kutoka Ifakara -Morogoro.
Washindi wawili waliojishindia kompyuta mpakato ni Bw. Justine Muyanza kutoka Mwanza na Bw. Abdul Hurey kutoka Arusha.
Hivyo makala Jinsi Bank ya Posta ilivyo chezesha droo ya pili ya Western Union, washindi saba walivyojishindia vitu vya thamani
yaani makala yote Jinsi Bank ya Posta ilivyo chezesha droo ya pili ya Western Union, washindi saba walivyojishindia vitu vya thamani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jinsi Bank ya Posta ilivyo chezesha droo ya pili ya Western Union, washindi saba walivyojishindia vitu vya thamani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/jinsi-bank-ya-posta-ilivyo-chezesha.html
0 Response to "Jinsi Bank ya Posta ilivyo chezesha droo ya pili ya Western Union, washindi saba walivyojishindia vitu vya thamani"
Post a Comment