Utalii/ Maisha : Kipindi cha Clouds 360 Charuka Mbashara kutoka Ngorongoro

Utalii/ Maisha : Kipindi cha Clouds 360 Charuka Mbashara kutoka Ngorongoro - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Utalii/ Maisha : Kipindi cha Clouds 360 Charuka Mbashara kutoka Ngorongoro, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Utalii/ Maisha : Kipindi cha Clouds 360 Charuka Mbashara kutoka Ngorongoro
kiungo : Utalii/ Maisha : Kipindi cha Clouds 360 Charuka Mbashara kutoka Ngorongoro

soma pia


Utalii/ Maisha : Kipindi cha Clouds 360 Charuka Mbashara kutoka Ngorongoro



Mtangazaji Sam Sasali akifungua kipindi katika eneo la Olduvai Gorge ,kipindi cha 360 kilichokuwa kikirushwa moja kwa moja kutoka Ngorongoro.

Gari maalumu la kurushia matangazo la kituo cha Clouds TV likiwa katka eneo la Bonde la Olduvai Gorge kwa ajili ya kurusha matangazo ya moja kwa moja .









Couples mbili ambao ni washindi wa safari ya kutembelea vivuto vya Utalii wakiwa katika pozi tofauti za picha katika eneo la Olduvai Gorge .

Washindi wa safari ya kutembelea vivutio vya utalii wakiwa katika picha ya pamoja na Mtangazaji wa kipindi cha Clouds 360 kilipokuwa kikirushwa moja kwa moja kutoka Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.





Mtangazaji wa kipindi cha Couds 360 ,Baby Kabaye akifanya mahojiano na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani wakati kipindi hicho kiliporushwa moja kwa moja kutoka Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.

Eneo la Bonde la Olduvai Gorge,linalo aminika kuwa mwanadamu wa kwanza aliishi hapa.



Mtangazaji wa Sport 360 ,James Tupatupa akifanya mahojiano na moja ya washindi wa nafasi ya kutembelea vivutio vya utalii ,leo katika kipindi cha Clouds 360 kilichorushwa moja kwa moja kutoka Hifadhi ya Ngorongoro.

Mtangazaji wa kipindi cha Clouds 360 Sam Sasali (katikati) akizungumza na moja ya Couple ya washindi waliofanikiwa kupata nafasi ya kutembelea vivutio va utalii wakati wa kipindi hicho kiliporushwa moja kwa moja kutoka katika Bonde la Oduvai Gorge lililopo katika Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.




Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.


Hivyo makala Utalii/ Maisha : Kipindi cha Clouds 360 Charuka Mbashara kutoka Ngorongoro

yaani makala yote Utalii/ Maisha : Kipindi cha Clouds 360 Charuka Mbashara kutoka Ngorongoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Utalii/ Maisha : Kipindi cha Clouds 360 Charuka Mbashara kutoka Ngorongoro mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/utalii-maisha-kipindi-cha-clouds-360.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Utalii/ Maisha : Kipindi cha Clouds 360 Charuka Mbashara kutoka Ngorongoro"

Post a Comment