Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia
kiungo : Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia

soma pia


Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia


Mkuu wa Mkoa wa Manyara mstaafu, Joel Bendera amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).

Msemaji wa MNH, Aminiel Aligaesha amesema, “Ni kweli Joel Bendera amefariki. Aliletwa leo na gari la wagonjwa saa 6:30 mchana na ilipofika saa 10:24 jioni alifariki.”

Aligaesha amesema Bendera alipokewa hospitalini hapo akitokea Bagamoyo mkoani Pwani.

Kuhusu chanzo cha kifo chake Aligaesha amesema, ‘’Hilo sasa ni suala la familia lakini kwa wakati huu itoshe kusema amefariki.”

Bendera pia amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.

Mbali ya ukuu wa mkoa, amewahi kuwa mbunge wa Korogwe Mjini na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo katika utawala uliopita wa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete.

Katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais John Magufuli Oktoba 26,2017, Bendera alikuwa miongoni mwa waliostaafu.

Nafasi yake imechukuliwa na Alexander Mnyeti aliyepandishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara akitokea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru.


Hivyo makala Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia

yaani makala yote Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/aliyekuwa-mkuu-wa-mkoa-wa-manyara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia"

Post a Comment