title : Zanzibar Queens watakaokwenda Rwanda Cecafa Chalenji watajwa
kiungo : Zanzibar Queens watakaokwenda Rwanda Cecafa Chalenji watajwa
Zanzibar Queens watakaokwenda Rwanda Cecafa Chalenji watajwa
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Kocha mkuu wa Soka la Zanzibar Hemed Suleiman (Morocco) mbali ya kutangaza kikosi cha timu ya Taifa kwa Wanaume pia leo ametangaza kikosi cha Wachezaji 20 wa timu ya Taifa ya Zanzibar kwa Wanawake (Zanzibar Queens) ambayo inatarajiwa kwenda nchini Rwanda kwenye Mashindano ya CECAFA Woman Chalenj CUP yanayotarajiwa kufanyika muda wowote mwezi huu.
WALINDA MLANGO
Salma Abdallah (Green Queens)
Hajra Abdallah (Jumbi)
Mtumwa (New Generation Queens)
WALINZI
Hawa Ali (New Generation Queens)
Mtumwa Khatib (Women Fighter)
Aziza Mwadini (New Generation Queens)
Flora Kayanda (Jumbi)
Safaa Makirikiri (New Generation Queens)
Neema Suleiman (Jumbi)
VIUNGO
Mwajuma Ali (Jumbi)
Nasrin Mohd (Women Fighter)
Riziki Abdallah "Chadole" (Jumbi)
Aziza Ali (Jumbi)
Sijali Abdallah (Green Queens)
WASHAMBULIAJI
Mwajuma Abdallah (New Generation Queens)
Shadida Abdallah (Women Fighter)
Neema Machano (Jumbi)
Dawa Haji (Women Fighter)
Sabah Hashim "Mess" (New Generation Queens)
Greece Ronald (Green Queens)
Hivyo makala Zanzibar Queens watakaokwenda Rwanda Cecafa Chalenji watajwa
yaani makala yote Zanzibar Queens watakaokwenda Rwanda Cecafa Chalenji watajwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zanzibar Queens watakaokwenda Rwanda Cecafa Chalenji watajwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/zanzibar-queens-watakaokwenda-rwanda.html
0 Response to "Zanzibar Queens watakaokwenda Rwanda Cecafa Chalenji watajwa"
Post a Comment