NEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio

NEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio
kiungo : NEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio

soma pia


NEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio

Hussein Makame, NEC 

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa wito kwa wananchi walioko kwenye halmashauri mbalimbali nchini, kuitumia vyema fursa ya utoaji wa elimu ya mpiga kura kupitia redio za kijamii kwenye halmashauri zao ili kuondoa manung’uniko kwenye chaguzi.

Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Bw. Kailima Ramadhani wakati akizungumzia mpango wa kutoa elimu ya mpiga kura nchi nzima ulioanza kutekelezwa Mei 8 mwaka huu hii katika mikoa kumi nchini.
Alisema kupitia mpango huo wananchi wanaosikiliza redio za kijamii kwenye halmashauri nchini, watapata fursa ya kujifunza elimu ya mpiga kura na kuelewa masuala yote muhimu yanayohusu mfumo mzima wa kupiga kura. 

“Tumepanga mpango, Tume itasambaa nchi nzima kuzungumzia elimu ya mpiga kura kwenye redio za kijamii zilizoko kwenye halmashauri zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.” alisema Bw. Kailima.

Alisisitiza kwa kutoa wito kwa wananchi walioko maeneo ambayo Tume itakwenda kutoa elimu ya mpiga kura, wasikilize na kuuliza maswali ili waweze kuelewa.

“Hii ni fursa kwa wananchi ambayo muda mrefu hawajawahi kuipata, hivyo nawaomba wafuatilie ili waweze kuelimika zaidi ili yale manung’uniko ya kura yatakuwa yamekwisha na tutakuwa na uchaguzi mzuri zaidi ya ile ambayo tumeifanya.” Alifafanua Bw. Kailima.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akitoa elimu ya mpiga kura kupitia redio A FM ya mkoani Dodoma leo Mei 9 mwaka huu huku akifuatiliwa kwa makini na watangazaji wa redio hiyo.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala NEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio

yaani makala yote NEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/nec-yaanza-kutekeleza-mpango-wa-elimu_9.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEC yaanza kutekeleza mpango wa Elimu ya Mpiga Kura kupitia Redio"

Post a Comment