title : MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA LEO ALIPOKUWA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA L.A. KKKT
kiungo : MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA LEO ALIPOKUWA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA L.A. KKKT
MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA LEO ALIPOKUWA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA L.A. KKKT
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo,walipokutana leo katika tamasha la maadhimisho ya miaka 500 ya kanisa la KKKT lililofanyika katika Uwanja wa Taifa.Wakwanza kulia ni Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye .
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akimsisitizia jambo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo walipokutana kwenye Tamasha la maadhimisho ya miaka 500 ya Kanisa la KKKT lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini hapa.
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiwa na Waziri Mkuu Mstafu Frederick Sumaye wa kwanza kushoto ,kwenye tamasha la Maadhimisho ya miaka 500 ya kanisa la KKKT lililofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini hapa.
Hivyo makala MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA LEO ALIPOKUWA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA L.A. KKKT
yaani makala yote MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA LEO ALIPOKUWA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA L.A. KKKT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA LEO ALIPOKUWA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA L.A. KKKT mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mstahiki-meya-wa-jiji-la-dar-es-salaam.html
0 Response to "MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA LEO ALIPOKUWA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA L.A. KKKT"
Post a Comment