YULE NYOTA ANAESAKWA NA SIMBA NA YANGA ATINGA MAZOEZI YA ZANZIBAR HEROES BAADA YA KUTOKA BENIN NA TAIFA STARS

YULE NYOTA ANAESAKWA NA SIMBA NA YANGA ATINGA MAZOEZI YA ZANZIBAR HEROES BAADA YA KUTOKA BENIN NA TAIFA STARS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YULE NYOTA ANAESAKWA NA SIMBA NA YANGA ATINGA MAZOEZI YA ZANZIBAR HEROES BAADA YA KUTOKA BENIN NA TAIFA STARS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YULE NYOTA ANAESAKWA NA SIMBA NA YANGA ATINGA MAZOEZI YA ZANZIBAR HEROES BAADA YA KUTOKA BENIN NA TAIFA STARS
kiungo : YULE NYOTA ANAESAKWA NA SIMBA NA YANGA ATINGA MAZOEZI YA ZANZIBAR HEROES BAADA YA KUTOKA BENIN NA TAIFA STARS

soma pia


YULE NYOTA ANAESAKWA NA SIMBA NA YANGA ATINGA MAZOEZI YA ZANZIBAR HEROES BAADA YA KUTOKA BENIN NA TAIFA STARS

Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Kiungo Mshambuliji wa Mtibwa Sugar Mohammed Issa "Banka" leo ameungana na wenzake kwenye mazoezi ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes).

Banka anakuwa mchezaji wa pili kutoka ligi kuu soka Tanzania Bara kujiunga na kikosi hicho akitanguliwa na mshambuliaji wa Majimaji Suleiman Kassim "Seleembe".

Sababu kubwa ya Banka kujiunga mapema na Zanzibar Heroes kumbe mchezaji huyo ana kadi za manjano 3 baada ya kupigwa kwenye michezo mitatu mfululizo akiitimukia timu yake ya Mtibwa hivyo mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Jumapili hii atalazimika kuukosa.

Mtandao huu umepiga stori na kiungo huyo kuhusu ujio wake Zanzibar Heroes ambapo amesema atapigana ili awemo katika kikosi cha mwisho.

"Hii ni mara yangu ya nne kuitwa Zanzibar Heroes lakini miaka yote huwa nachujwa sibahatiki kusafiri na timu kwenda kwenye Mashindano, lakini mwaka huu nataka kupigana ili nipate nafasi kwani Zanzibar kila ninaemuangalia ana uwezo mkubwa, kule Mtibwa nina kadi 3 za njano kwaiyo nimeruhusiwa kuja huku kwa vile sitocheza mchezo unaofuata". 

Aidha Banka pia amesema timu yoyote itakayomuhitaji na wakikubaliana atajiunga nayo lakini kwasasa bado ni mali ya Mtibwa.

"Mimi bado ni mchezaji wa Mtibwa na timu yoyote tukikubaliana sawa ila mimi ni Mtibwa bado na hakuna timu iliyonifata mpaka sasa" Alisema Banka.

Wachezaji ambao wanatokea ligi kuu soka Tanzania bara ambao bado hawajajumuika na wenzao ni Walinzi Abdallah Haji "Ninja" (Yanga), Adeyum Saleh "Machupa" (Kagera Sugar), Haji Mwinyi Ngwali (Yanga), Abdulla Kheir "Sebo" (Azam), Viungo Mudathir Yahya (Singida United), pamoja na washambuliaji Kassim Suleiman (Prisons), Matteo Anton (Yanga) na Seif Rashid Abdallah “Karihe” (Lipuli).


Hivyo makala YULE NYOTA ANAESAKWA NA SIMBA NA YANGA ATINGA MAZOEZI YA ZANZIBAR HEROES BAADA YA KUTOKA BENIN NA TAIFA STARS

yaani makala yote YULE NYOTA ANAESAKWA NA SIMBA NA YANGA ATINGA MAZOEZI YA ZANZIBAR HEROES BAADA YA KUTOKA BENIN NA TAIFA STARS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YULE NYOTA ANAESAKWA NA SIMBA NA YANGA ATINGA MAZOEZI YA ZANZIBAR HEROES BAADA YA KUTOKA BENIN NA TAIFA STARS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/yule-nyota-anaesakwa-na-simba-na-yanga.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "YULE NYOTA ANAESAKWA NA SIMBA NA YANGA ATINGA MAZOEZI YA ZANZIBAR HEROES BAADA YA KUTOKA BENIN NA TAIFA STARS"

Post a Comment