title : WARSHA YA WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA KWA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIINGEREZA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA NOVEMBA 6 HADI 8, 2017
kiungo : WARSHA YA WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA KWA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIINGEREZA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA NOVEMBA 6 HADI 8, 2017
WARSHA YA WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA KWA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIINGEREZA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA NOVEMBA 6 HADI 8, 2017
WARSHA ya Kimataifa ya wanachama wa Umoja wa Posta Afrika kwa nchi zinazozungumza Kiingereza, imefanyika jijini Arusha, Tanzania ikizishirikisha nchi mbalimbali barani Afrika.
Katika warsha hiyo, ijulikanayo kama ‘operational readness for e-commerce,’ ilianza Novemba 6 na kumalizika Novemba 8, 2017, Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha hiyo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Angelina Madete, aliwataka kuwa na utayari wa kibishara ili waweze kuendana na mabadiliko ya tekinolojia.
"Tukiongeza ubunifu wa kufanyakazi kwa mbinu za kisasa kwa kutumia huduma za intaneti, wateja wengi watavutiwa na kuendelea kuwepo kwenye soko na kuweza kukabiliana na ushindani wa kibishara." Alisema.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Angelina Madete, akizungumza wakati akiifungua warsha ya kimataifa ya wanachama wa Umoja wa Posta Afrika kwa nchi zinazozungumza Kiingereza, ilioanza jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Mount Meru, Novemba 6 na kumalizika Novemba 8, 2017.
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta duniani (UPU), Bi. Loilinda Dieme, akizungumza katika warsha hiyo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU), Bw. Younous Djibrine, akizungumza katika warsha hiyo.
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Bw. Deo Kwiyukwa akizungumza katika warsha hiyo.
Hivyo makala WARSHA YA WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA KWA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIINGEREZA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA NOVEMBA 6 HADI 8, 2017
yaani makala yote WARSHA YA WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA KWA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIINGEREZA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA NOVEMBA 6 HADI 8, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WARSHA YA WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA KWA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIINGEREZA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA NOVEMBA 6 HADI 8, 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/warsha-ya-wanachama-wa-umoja-wa-posta.html
0 Response to "WARSHA YA WANACHAMA WA UMOJA WA POSTA AFRIKA KWA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIINGEREZA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA NOVEMBA 6 HADI 8, 2017"
Post a Comment