title : DC Jokate atembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili
kiungo : DC Jokate atembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili
DC Jokate atembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Mwegelo akiwa na Ester Simon baada ya kumtembelea leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako pacha walifanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha kutokana na kuzaliwa wakiwa wameungana.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo akisalimiana na Ester Simon baada ya kumtembelea wodini leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili, Prof. Lawrence Museru akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo mara baada ya kuwatembelea watoto pacha leo.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo Mwegelo akiwa katika picha ya pamoja na Prof. Museru na Sister Ester Mwambogoja.
Hivyo makala DC Jokate atembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili
yaani makala yote DC Jokate atembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC Jokate atembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/dc-jokate-atembelea-pacha.html
0 Response to "DC Jokate atembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili"
Post a Comment