WANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI

WANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI
kiungo : WANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI

soma pia


WANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI

 Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia, Theodosia Mhulo kutoka WLAC Akifungua maadhimisho hayo katika ofisi za REDESO zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa wito kwa wana harakati na Wadau kwa ujumla kuanza kuwatumia Wanaume kama chachu ya mabadiliko katika vita ya ukatili wa Kijinsia nchini.
 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya REDESO, Abeid Kasazi akizungumza kabla ya kumakaribisha mgeni rasmi kufungua maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Duniani kote, yaliyofanyika katika ofisi za Taasisi hiyo zilizopo kinondoni Jijini Dar es Salaam.
 Mshauri kutoka  REDESO, Brigitha  Sedekia akitoa somo juu ya ukatili wa kijinsia  kwa watu waliofika katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.
 Sehemu ya wageni waalikwa waliokuwa wamekaa Meza kuu wakati wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Duniani wakishiriki kuimba kwa pamoja
 Kundi la Muziki la Wakimbizi linalojulikana kwa jina la Bana ba Zambe wakitoa Burudani wakati wa Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Duniani
 Sehemu ya wageni waalikwa walioshiriki katika Maadhimisho ya Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Duniani



Hivyo makala WANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI

yaani makala yote WANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/wanaume-watakiwa-kuwa-chachu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA NCHINI"

Post a Comment