Bendi za Muziki wa dansi kutikisa katika maonyesho ya Kimataifa nchini Ujerumani. Tanzania ndiyo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018

Bendi za Muziki wa dansi kutikisa katika maonyesho ya Kimataifa nchini Ujerumani. Tanzania ndiyo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bendi za Muziki wa dansi kutikisa katika maonyesho ya Kimataifa nchini Ujerumani. Tanzania ndiyo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bendi za Muziki wa dansi kutikisa katika maonyesho ya Kimataifa nchini Ujerumani. Tanzania ndiyo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018
kiungo : Bendi za Muziki wa dansi kutikisa katika maonyesho ya Kimataifa nchini Ujerumani. Tanzania ndiyo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018

soma pia


Bendi za Muziki wa dansi kutikisa katika maonyesho ya Kimataifa nchini Ujerumani. Tanzania ndiyo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018

Wakati siku zinakaribia na matayarisho yamekamilika kwa kuanza maonyesho ya kimataifa ya Intern.Afrika Festival Tubingen 2018 yanayo ambatana na maonyesho ya biashara ya (GaiExpo) German-Afrika International Expo,kuanzia tarehe 9 Agosti 2018 mpaka 12 Agosti 2018 katika mji wa Tubingen,nchini ujerumani ambapo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018 ni TANZANIA. 
Baadhi ya wasanii na bendi mbali mbali wameshathibitisha kushiriki katika maonyesho hayo kati ya bendi za muziki wa dansi maarufu kama "Bongo Dansi" zilizokuwa tayari huko ulaya ni bendi maarufu za Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni au "Viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens "  yenye makao yake ujerumani.
Pia kuna Saidi Kanda  na Mvula-Mandondo Band inayoongozwa na mwanamuziki Saidi kanda yenye makao yake kule Uingereza nao wameshakuwapo tayari tayari kwa kutumbuiza katika maonyesho hayo makubwa. 
Watayarishaji wa maonyesho hayo GaiExpo wamesema wanatarajia kupokea wageni wengi kutoka nchini Tanzania wakiwemo wafanyibiashara,wajasilimali,wasanii n.k,mialiko imeshatumwa kwa wageni wote na pia kopi za mialiko hiyo zimeshatumwa kwa ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania kilichobakia ni jukumu la ubalozi wa ujerumani uwape idhini na viza za kusafiria washiriki wa maonyesho hayo makubwa ambayo kwa mara ya kwanza Tanzania ni nche lengwa katika tamasha kubwa barani ulaya. 





Hivyo makala Bendi za Muziki wa dansi kutikisa katika maonyesho ya Kimataifa nchini Ujerumani. Tanzania ndiyo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018

yaani makala yote Bendi za Muziki wa dansi kutikisa katika maonyesho ya Kimataifa nchini Ujerumani. Tanzania ndiyo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bendi za Muziki wa dansi kutikisa katika maonyesho ya Kimataifa nchini Ujerumani. Tanzania ndiyo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/bendi-za-muziki-wa-dansi-kutikisa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bendi za Muziki wa dansi kutikisa katika maonyesho ya Kimataifa nchini Ujerumani. Tanzania ndiyo nchi lengwa katika maonyesho hayo mwaka 2018"

Post a Comment