WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA KUREKEBISHA MSHIPA MKUBWA WA DAMU KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU.

WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA KUREKEBISHA MSHIPA MKUBWA WA DAMU KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA KUREKEBISHA MSHIPA MKUBWA WA DAMU KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA KUREKEBISHA MSHIPA MKUBWA WA DAMU KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU.
kiungo : WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA KUREKEBISHA MSHIPA MKUBWA WA DAMU KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU.

soma pia


WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA KUREKEBISHA MSHIPA MKUBWA WA DAMU KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU.

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya Mjini Mumbai nchini India wamefanya upasuaji mkubwa wa moyo kwa wagonjwa 15 katika kambi maalum ya upasuaji ya siku sita inayomalizika kesho.

Upasuaji wa moyo unaofanyika katika kambi hii ambayo imeanza Jumatatu tarehe 8/11/2017 hadi Jumamosi tarehe 11/11/2017 ni ya upasuaji wa kufungua kifua kwa watu wazima. Upasuaji uliofanyika ni wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting), na kubadili milango miwili hadi mitatu ya moyo (Valve Replacement).

Kwa mara ya kwanza hapa nchini tumefanya upasuaji wa kurekebisa mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kwenda sehemu zote za mwili (Aortic Aneurysm Repair).

Tulifanya upasuaji kwa wagonjwa watatu kwa siku, wote hawa wanaendelea vizuri na wataruhusiwa pindi afya zao zitakapoimarika. Baadhi yao ambao tumewafanyia upasuaji jana na juzi wako katika chumba cha uangalizi maalum na wengine wako wodini wameshaanza kufanya mazoezi.

Kama wagonjwa hawa wangeenda kutibiwa nje ya nchi Serikali ingelipia zaidi ya milioni 405 kwani gharama za mgonjwa mmoja kwenda kutibiwa nje ya nchi ni zaidi ya milioni 27. Gharama za matibabu haya hapa nchini kwa wagonjwa 15 ni milioni 225 (milioni 15 kwa mgonjwa mmoja).

Changamoto kubwa tunayokabiliana nayo katika matibabu ya wagonjwa wetu ni wagonjwa wengi tunaowapokea mioyo yao kutokuwa katika hali nzuri. Tunawashauri wananchi kujenga tabia ya kupima afya zao mara kwa mara hii itawasaidia kujuwa kama wana matatizo ya moyo au la na hivyo kupata tiba kwa wakati.
 Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Upasuaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa akiongea na waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu kambi maalum ya upasuaji ambayo imefanywa na Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya Mjini Mumbai nchini India ambapo wagonjwa 15 wamefanyiwa upasuaji. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi Roberth Mallya na kushoto ni Daktari bingwa wa usingizi na wagonjwa mahututi Anjela Muhozya akifuatiwa na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu kutoka Hospitali ya Saifee Ali Ascar Beliranwalwa. 
 Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Upasuaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Bashir Nyangasa akiongea na waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu kambi maalum ya upasuaji ambayo imefanywa na Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya Mjini Mumbai nchini India ambapo wagonjwa 15 wamefanyiwa upasuaji. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi Roberth Mallya na kushoto ni Daktari bingwa wa usingizi na wagonjwa mahututi Anjela Muhozya akifuatiwa na Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya Damu kutoka Hospitali ya Saifee Ali Ascar Beliranwalwa. 
Mkutano wa waandishi wa Habari ukiendelea  kuhusu kambi maalum ya upasuaji ambayo imefanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete  (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee ya Mjini Mumbai nchini India ambapo wagonjwa 15 wamefanyiwa upasuaji. Upasuaji uliofanyika  ni wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (CABG – Coronary Artery Bypass Grafting), kubadili milango miwili hadi mitatu ya  moyo (Valve Replacement) na kurekebisha mshipa mkubwa unaotoa damu kwenye moyo kwenda sehemu zote za mwili (Aortic Aneurysm Repair). 



Hivyo makala WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA KUREKEBISHA MSHIPA MKUBWA WA DAMU KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU.

yaani makala yote WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA KUREKEBISHA MSHIPA MKUBWA WA DAMU KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA KUREKEBISHA MSHIPA MKUBWA WA DAMU KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/wagonjwa-15-wafanyiwa-upasuaji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAGONJWA 15 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUPANDIKIZA MISHIPA YA DAMU KATIKA MOYO NA KUREKEBISHA MSHIPA MKUBWA WA DAMU KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU."

Post a Comment