title : MTIBWA WAENDELEA KUJINOA KUWASUBIRI AFRICAN LYON IJUMAA HII
kiungo : MTIBWA WAENDELEA KUJINOA KUWASUBIRI AFRICAN LYON IJUMAA HII
MTIBWA WAENDELEA KUJINOA KUWASUBIRI AFRICAN LYON IJUMAA HII
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
TIMU ya Mtibwa Sugar kinashuka dimbani siku ya Ijumaa ya tarehe katika mchezo wake wa ligi kuu bara (TPL) dhidi ya African Lyon.
Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa nyumbani wa Mtibwa Sugar (Manungu) unatarajiwa kuwa wa ushindani kwa pande zote mbili..
Kuelekea mchezo huo Msemaji wa klabu hiyo Thobias Kifaru na kusema kuwa maandalizi kwa kikosi kizima yanaendelea vizuri na wachezaji wana hari ya kuhakikisha wanabakisha alama tatu katika Uwanja wa nyumbani.
‘sisi kama wenyeji kila kitu kinaenda vizuri katika maandalizi ya mchezo huo, kilichobaki ni mchezo wenyewe na tunawaomba wana mtibwa ,wana Morogoro na wapenzi wetru waje kwa wingi watupe support,” Kifaru
Tunaamini African Lyon ni timu nzuri lakini hatutawabeza kabisa na hatutaki kupoteza mchezo huo muhimu kwetu.
Kikosi cha Mtibwa Sugar kitaendelea kukosa huduma ya Kelvin Sabato na Dickson Job ambao wako katika majaribio, Sabato yuko Afrika Kusini katika klabu ya Tshakuma Tsha Madzivhandila na Dickson Job yeye yupo katika majaribio Arsenal Kiev.
Lakini kikosi cha wana tam tam kimezidi kuimarika kutokana na wachezaji waliokosekana katika michezo iliyopita kurejea ambao ni Salum Kihimbwa alikuwa anatumikia kadi nyekundu, Juma Luizio na Jaffari Kibaya pia wamerejea katika kikosi baada ya kuwa wamepewa mapumziko.
Hivyo makala MTIBWA WAENDELEA KUJINOA KUWASUBIRI AFRICAN LYON IJUMAA HII
yaani makala yote MTIBWA WAENDELEA KUJINOA KUWASUBIRI AFRICAN LYON IJUMAA HII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MTIBWA WAENDELEA KUJINOA KUWASUBIRI AFRICAN LYON IJUMAA HII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mtibwa-waendelea-kujinoa-kuwasubiri.html
0 Response to "MTIBWA WAENDELEA KUJINOA KUWASUBIRI AFRICAN LYON IJUMAA HII"
Post a Comment