title : Viongozi wa TSSF watoa taarifa ya ufafanuzi juu ya upotoshwaji dhidi ya taasisi hiyo
kiungo : Viongozi wa TSSF watoa taarifa ya ufafanuzi juu ya upotoshwaji dhidi ya taasisi hiyo
Viongozi wa TSSF watoa taarifa ya ufafanuzi juu ya upotoshwaji dhidi ya taasisi hiyo
Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF) Donati Salla (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taarifa za uzushi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa taasisi hiyo ni matapeli, kulia ni Afisa Mawasiliano wa taasisi hiyo Magdalena Ufunguo.
Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF) Donati Salla (kushoto) akionesha leseni ya usajili kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taarifa za uzushi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa taasisi hiyo ni matapeli, kulia ni Afisa Mawasiliano wa taasisi hiyo Magdalena Ufunguo.
Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF) Donati Salla (kushoto) akionesha leseni ya usajili kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taarifa za uzushi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa taasisi hiyo ni matapeli, kulia ni Afisa Mawasiliano wa taasisi hiyo Magdalena Ufunguo.
Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF) Donati Salla (kushoto) akionesha moja ya gazeti lenye tangazo la taasisi hiyo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu taarifa za uzushi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa taasisi hiyo ni matapeli, kulia ni Afisa Mawasiliano wa taasisi hiyo Magdalena Ufunguo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimfuatilia Mkuu wa taasisi ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF) Donati Salla (hayupo pichani) wakati akitoa ufafanuzi kuhusu taarifa za uzushi zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa taasisi hiyo ni matapeli, mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa –
Hivyo makala Viongozi wa TSSF watoa taarifa ya ufafanuzi juu ya upotoshwaji dhidi ya taasisi hiyo
yaani makala yote Viongozi wa TSSF watoa taarifa ya ufafanuzi juu ya upotoshwaji dhidi ya taasisi hiyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Viongozi wa TSSF watoa taarifa ya ufafanuzi juu ya upotoshwaji dhidi ya taasisi hiyo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/viongozi-wa-tssf-watoa-taarifa-ya.html
0 Response to "Viongozi wa TSSF watoa taarifa ya ufafanuzi juu ya upotoshwaji dhidi ya taasisi hiyo"
Post a Comment