POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA

POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA
kiungo : POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA

soma pia


POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA


NA MWAMVUA MWINYI, PWANI
JESHI la polisi mkoani Pwani ,linamtafuta mwanamke ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja kwa tuhuma za kumpiga hadi kumuua mtoto  wake Halima Ramadhani (5) kwa tuhuma za kuunguza pazia la chumbani.

Kamanda wa polisi mkoani humo Wankyo Nyigesa alithitisha kutokea kwa tukio hilo la kusikitisha huko Kikongo wilaya ya Kipolisi Mlandizi wilayani Kibaha

Alisema mama huyo ,  alimuua mwanaye kwa kipigo akimtuhumu mwanaye huyo kuunguza pazia hilo kwa kutumia kibatari.

"Baada ya kukuta pazia hilo limeungua mama yake alimshambulia na kupelekea kifo cha mtoto huyo na alipoona hali mbaya alikimbia," alisema Nyigesa.

Alisema,mtoto huyo alifariki alipofikishwa katika kituo cha Afya Mlandizi siku hiyo hiyo majira ya saa nne usiku.


Hivyo makala POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA

yaani makala yote POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/polisi-pwani-yamsaka-mwanamke.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "POLISI PWANI YAMSAKA MWANAMKE ALIYEMPIGA MWANAE WA MIAKA MITANO HADI KUMSABABISHIA KIFO -NYIGESA"

Post a Comment