Usajili Vitambulisho vya Taifa watinga Manyara, Singida

Usajili Vitambulisho vya Taifa watinga Manyara, Singida - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Usajili Vitambulisho vya Taifa watinga Manyara, Singida, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Usajili Vitambulisho vya Taifa watinga Manyara, Singida
kiungo : Usajili Vitambulisho vya Taifa watinga Manyara, Singida

soma pia


Usajili Vitambulisho vya Taifa watinga Manyara, Singida

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeanza zoezi la usajili wa watu katika wilaya zote za mikoa ya Manyara na Singida ambalo linalenga kuwapatia Vitambulisho vya Taifa. 

Kuwapatia Vitambulisho wananchi kutasaidia kutambulika pale wanapotaka kugawiwa pembejeo za Kilimo, kupata leseni za udereva na biashara, kusajili namba za Simu, kumiliki Ardhi, kupata mikopo, kufungua akaunti benki na matumizi mengineyo yanayohitaji utambulisho.

Mratibu wa Usajili wa mikoa ya Manyara na Singida, Thomas William ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara amesema watu wengi wanajitokeza kusajiliwa baada ya kuelimishwa kuhusu umuhimu wa Vitambulisho vya Taifa.
Wakazi wa Sinai na Magugu, Babati, Manyara wakishiriki kwenye zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa.


Hivyo makala Usajili Vitambulisho vya Taifa watinga Manyara, Singida

yaani makala yote Usajili Vitambulisho vya Taifa watinga Manyara, Singida Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Usajili Vitambulisho vya Taifa watinga Manyara, Singida mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/usajili-vitambulisho-vya-taifa-watinga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Usajili Vitambulisho vya Taifa watinga Manyara, Singida"

Post a Comment