title : YAJUE MATUMIS SAWIA YA MBOLEA AINA YA YARAMILA WINNER
kiungo : YAJUE MATUMIS SAWIA YA MBOLEA AINA YA YARAMILA WINNER
YAJUE MATUMIS SAWIA YA MBOLEA AINA YA YARAMILA WINNER
Mbolea ya YaraMila Winner Ni mbolea ya NPK ya kupandia inayowekwa kwenye udongo wa mazao ya mboga mboga na matunda Matumizi 1. Kupandia – Weka kisoda kimoja hadi viwili kimoja kwa mmea kuzunguka shina wiki moja baada ya kuota 2. Kukuzia- Tumia vifuniko viiwili baada ya siku 14 kulingana na hitaji Zingatia · Udongo wako uwe na unyevunyevu wakati wa kuweka mbolea · Weka umbali wa sentimita 5 kutoka kwenye shina · Tafadhali wasiliana na bwana shamba wa kampuni ya Yara kwa maelekezo na mahitaji maalumu
Hivyo makala YAJUE MATUMIS SAWIA YA MBOLEA AINA YA YARAMILA WINNER
yaani makala yote YAJUE MATUMIS SAWIA YA MBOLEA AINA YA YARAMILA WINNER Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YAJUE MATUMIS SAWIA YA MBOLEA AINA YA YARAMILA WINNER mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/yajue-matumis-sawia-ya-mbolea-aina-ya.html
0 Response to "YAJUE MATUMIS SAWIA YA MBOLEA AINA YA YARAMILA WINNER"
Post a Comment