Serikali kuajiri maafisa ugani 1,487 mwaka wa fedha 2017/2018

Serikali kuajiri maafisa ugani 1,487 mwaka wa fedha 2017/2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali kuajiri maafisa ugani 1,487 mwaka wa fedha 2017/2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali kuajiri maafisa ugani 1,487 mwaka wa fedha 2017/2018
kiungo : Serikali kuajiri maafisa ugani 1,487 mwaka wa fedha 2017/2018

soma pia


Serikali kuajiri maafisa ugani 1,487 mwaka wa fedha 2017/2018

Serikali imepanga kuajiri maafisa Ugani 1,487 katika mwaka wa Fedha 2017/2018 ili kuziba pengo la upungufu wa wataalamu hao kote nchini na kuongeza tija katika uzalishaji kwenye sekta ya Kilimo.
Akijibu swali la Mbunge wa Nanyamba Mhe. Abdalla Chikota wakati wa Kipindi cha maswali  na majibu  Bungeni, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. George  Mkuchika amesema kuwa kati ya mwaka 2013/2014 hadi 2016/2017 jumla ya Maafisa Ugani 5,710 waliajiriwa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa.
“Serikali imekuwa ikitoa vibali vya ajira za Maafisa Ugani katika Mamlaka za Serikali ya Mitaa kila mwaka wa fedha kutegemea uwezo wa bajeti,” alisisitiza Mkuchika.
Akisisitiza  Mhe.  Mkuchika amesema kuwa Serikali inatambua upungufu wa Maafisa Ugani hasa katika Halmashauri mpya  na Miji na itahakikisha inawapeleka Maafisa hao ili kuleta uwiano kati ya Halmashuri Kongwe na zile mpya.
Aliongeza kuwa Wizara yake itashirikiana na Wizara ya Kilimo kuhakikisha kuwa udahili katika vyuo vya Ugani unaongezeka ili idadi ya wataalamu hao iongezeka kulingana na mahitaji.
Katika Kukuza na kuongeza tija Katika Sekta ya Kilimo  Serikali imeweka mkazo katika kuongeza ujuzi na maarifa ya Wataalam wa Kilimo ili kuendana na dhana ya ujenzi wa uchumi wa Viwanda.
Na Frank Mvungi- Maelezo, Dodoma


Hivyo makala Serikali kuajiri maafisa ugani 1,487 mwaka wa fedha 2017/2018

yaani makala yote Serikali kuajiri maafisa ugani 1,487 mwaka wa fedha 2017/2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali kuajiri maafisa ugani 1,487 mwaka wa fedha 2017/2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/serikali-kuajiri-maafisa-ugani-1487.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Serikali kuajiri maafisa ugani 1,487 mwaka wa fedha 2017/2018"

Post a Comment