Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove

Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove
kiungo : Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove

soma pia


Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove

Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove
STAA wa filamu mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa hajawahi kuwakumbuka (kuwamis) waliokuwa mashoga zake wa damu, Muna Alphonse ‘Muna’ na Kajala Masanja na kudai alishawatoa kwenye akili yake.

Akizungumza na Star Mix, Wema alisema kuna baadhi ya watu ambao hajaonana nao muda mrefu na anawakumbuka kila mara lakini kwa upande wake hajawahi kuwakumbuka rafiki zake hao ambao huko nyuma walikuwa kama kumbikumbi.

 “Sitaki kusema dhambi jamani sijawahi kuwamisi hawa watu (Muna na Kajala) kabisa naona kama niliwafuta kwenye kichwa changu maana najikuta kuna watu nawakumbuka lakini hao hapana,” alisema Wema.



Hivyo makala Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove

yaani makala yote Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wema-sepetu-afunguka-haya-kuhusu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Wahasimu Wake Kajala Masanja na Munalove"

Post a Comment