RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiwa wamesimama wakati nyimbo za Taifa za nchi zao pamoja na wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zikipigwa kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
 Mke wa Rais wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiwa na Mke wa Rais wa Uganda Mama Janeth Museveni wakati nyimbo za taifa zikipigwa  kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha ujumbe alioongozana nao kwa mwenyeji wake  Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza kwa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni huku wake zao wakifurahia baada ya  viongozi hao kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakiongozana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere baada ya kuzindua Kituo cha Pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post - OSBP) Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakisalimiana na viongozi wa kampuni ya Total ya Ufaransa wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta wakiweka  jiwe la msingi la mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga Mutukula nchini Uganda Novemba 9, 2017. Picha na IKULU


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/rais-dkt-magufuli-na-rais-museveni-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI, WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI MJINI MUTUKULA"

Post a Comment