Michezo / Riadha : Mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana

Michezo / Riadha : Mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Michezo / Riadha : Mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Michezo / Riadha : Mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana
kiungo : Michezo / Riadha : Mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana

soma pia


Michezo / Riadha : Mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana



Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi Cheti mwakilishi wa Mkapa Foundation, Deogratius Rimoy, kutambua mchango wa kufanikisha mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' za Kilometa 5, 9 na 21 zilizofanyika leo asubuhi jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, kuelekea wiki ya Siku ya Ukimwi Duniani. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa kampuni ya Montage, Teddy Mapunda, kutambua mchango wa kufanikisha mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' za Kilometa 5, 9 na 21 zilizofanyika leo asubuhi kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, kuelekea wiki ya Siku ya Ukimwi Duniani.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akiongoza matembezi ya Kilometa tano......

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde (wa pili kuli) akiongoza mazoezi ya viungo baada ya kumalizika mbio hizo.

Mazoezi yakiendelea....

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, (katikati) akiongoza mazoezi.


Mbio za Kilometa 21 zikianza...KWA PICJA ZAID BOFYA HAPA



Washiriki wa mbio hizo wakijiandaa kuanza.....

Mbio zikiendelea....

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi cheti mshindi wa kwanza wa mbio za Kilometa 9, Anold Kahwa.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi cheti mshindi wa pili wa mbio za Kilometa 9, Edgar Mapunda.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi cheti mshindi wa kwanza wa mbio za Kilometa 9, kwa upande wa wanawake, Irene Joseph.


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akimkabidhi cheti mshindi wa kwanza wa mbio za Kilometa 21, Carlson Konga.

Washiriki wakitimua mbio








Mafoto akishiriki matembezi ya Kilometa tano.

Mama na mwana wakishiriki mbio za kilometa 9



Mazoezi ya viungo

Mazoezi ya viungo

Picha ya pamoja .....

Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Leonard Mabok, akiongea baada ya kumalizika mbio hizo.



Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, akizungumza wakati wa hafla hiyo.


Picha ya pamoja


Picha ya pamoja....


Hivyo makala Michezo / Riadha : Mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana

yaani makala yote Michezo / Riadha : Mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Michezo / Riadha : Mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/michezo-riadha-mbio-za-aids-trust-fund.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Michezo / Riadha : Mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana"

Post a Comment