“Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo

“Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa “Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : “Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo
kiungo : “Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo

soma pia


“Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameagiza kukamatwa kwa wafanyabiashara wote wanaouza wanaouza pembejeo kwa zaidi ya bei elekezi iliyotolewa rasmi na serikali kwani kufanya hivyo ni kukiuka utaratibu uliowekwa na serikali kwaajili ya kuwanufaisha wakulima.

Amesema kuwa kumekuwa na baadhi ya maduka katika Manispaa ya Sumbawanga wanauza mbolea kwa bei isiyo halali na hivyo tayari ameshaagiza vyombo vya dola viwashughulikie watu hao haraka iwezekanavyo.

“Ni marufuku kwa wauzaji wa pembejeo kuuza mbolea kwa bei ambayo ni nje ya bei elekezi, msako mkali utafanyika kwa halmashauri zote kuhakikisha kuwa bei elekezi ndio inayotumika na kuwabaini wale wote wanaouza kinyume na bei hii elekezi,” Alisisitiza.

Ameongeza kuwa bei hizo zinatofautiana kati ya Halmashauri na Halmashauri na kwa Manispaa ya Sumbawanga bei elekezi kwa mbolea ya kupandia (DAP) ni shilingi 55,427 na ya kukuzia (Urea) ni 42,848. Halmashauri ya Nkasi mbolea ya kupandia (DAP) ni shilingi 55,961 na ya kukuzia (Urea) ni 43382. Halmashauri ya Kalambo mbolea ya kupandia (DAP) ni shilingi 57,022 na ya kukuzia (Urea) ni 44,443 na Sumbawanga Vijijini mbolea ya kupandia (DAP) ni shilingi 56,808 na ya kukuzia (Urea) ni 44229.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo.


Hivyo makala “Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo

yaani makala yote “Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala “Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/marufuku-kuuza-mbolea-tofauti-na-bei.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "“Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo"

Post a Comment