title : KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 YA KIFO CHA MARTHA TUNU PATRICK MOMBO
kiungo : KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 YA KIFO CHA MARTHA TUNU PATRICK MOMBO
KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 YA KIFO CHA MARTHA TUNU PATRICK MOMBO
LEO, NOVEMBA 4, NI MIAKA MITANO TANGU MPENDWA WETU MARTHA TUNU PATRICK MOMBO ULIPOTANGULIA MBELE YA HAKI NA KUTUACHIA MAJONZI NA PENGO LISILOZIBIKA DAIMA. KAMWE HATUWEZI KUSAHAU UPENDO WAKO, BUSARA ZAKO NA UCHESHI WAKO
UNAKUMBUKWA SANA NA FAMILIA NA UKOO WA BALOZI PATRICK CYPRIAN MOMBO, NDUGU NA JAMAA ZETU WOTE
RAHA YA MILELE UMPE, EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE. ASTAREHE KWA AMANI. AMINA
Hivyo makala KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 YA KIFO CHA MARTHA TUNU PATRICK MOMBO
yaani makala yote KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 YA KIFO CHA MARTHA TUNU PATRICK MOMBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 YA KIFO CHA MARTHA TUNU PATRICK MOMBO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/kumbukumbu-ya-miaka-5-ya-kifo-cha.html
0 Response to "KUMBUKUMBU YA MIAKA 5 YA KIFO CHA MARTHA TUNU PATRICK MOMBO"
Post a Comment