BOT YAWAJENGEA UWEZO WA KUTAMBUA NOTI BANDIA WATU WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WILAYANI CHATO

BOT YAWAJENGEA UWEZO WA KUTAMBUA NOTI BANDIA WATU WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WILAYANI CHATO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BOT YAWAJENGEA UWEZO WA KUTAMBUA NOTI BANDIA WATU WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WILAYANI CHATO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BOT YAWAJENGEA UWEZO WA KUTAMBUA NOTI BANDIA WATU WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WILAYANI CHATO
kiungo : BOT YAWAJENGEA UWEZO WA KUTAMBUA NOTI BANDIA WATU WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WILAYANI CHATO

soma pia


BOT YAWAJENGEA UWEZO WA KUTAMBUA NOTI BANDIA WATU WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WILAYANI CHATO

NA JOEL MADUKA,CHATO.

Benki kuu ya Tanzania (BOT)imekutana na kundi la watu wenye ulemavu wa kutokusikia na wale ambao hawaoni Wilayani Chato lengo likiwa ni kuwapatia na elimu ya utambuzi wa Noti bandia Wilayani humo.

Akizungumza kwenye semina ambayo imefanyika kwenye ukumbi wa KKKT Wilayani Humo,Meneja msaidizi wa idara ya uhusiano wa BOT, Vicky Msina alisema elimu wanayoitoa imelenga kuwawezesha viziwi kutambua alama za usalama zilizopo katika noti ili kuzitofautisha na noti bandia wanapokuwa katika shughuli zao kwani mtu yeyote akikutwa na noti bandia ni kosa la jinai, hivyo wanawapa mafunzo ili wasikumbwe na kadhia hiyo.

“Ni muda sasa walituomba kuwapa mafunzo na hii ni kutokana na wengi wao kutokujua noti bandia wamekuwa wakijikuta wanabambikiwa na pia wanapo kwenda benki kupeleka fedha zao wahudumu huwadharau na wakati mwingine kwa wale wanao kwenda kuchukua fedha hupatiwa noti chafu jambo ambalo lilitusukuma kuwaelimisha juu ya hatua za kufuata ilikupatiwa haki zao za msingi kwenye huduma hizo,”alisema Msima.

Mwenyekiti wa Kituo cha Sanaa na Utamaduni kwa Viziwi Tanzania (Kisuvita), Habibu Mrope alisema kuna tatizo kubwa la kutotambua noti bandia kwa Walemavu hali ambayo imechangia kuwarudisha nyuma kwani wanapokutwa na noti hizo huchukuliwa hatua za kisheria.
Bw,Patrick Fata ambaye ni Mhelimishaji kutoka BOT akielekeza na kutoa elimu namna ambavyo unaweza kutambua Noti bandia. 
Bw,Patrick Fata ambaye ni Mhelimishaji kutoka BOT,akisisitiza swala la alama za fedha ambazo zinakuwepo kwenye noti. 
Kifaa ambacho kinatumika kuangalizia noti bandia na ile ambayo ni ya harari. 
Noti ambazo zinakuwa zimeharibiwa zikiwa kwenye mafungu fungu lenye rangi nyekundi ni elfu kumi na yenye rangi ya blue ni elfu tano. 




Hivyo makala BOT YAWAJENGEA UWEZO WA KUTAMBUA NOTI BANDIA WATU WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WILAYANI CHATO

yaani makala yote BOT YAWAJENGEA UWEZO WA KUTAMBUA NOTI BANDIA WATU WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WILAYANI CHATO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BOT YAWAJENGEA UWEZO WA KUTAMBUA NOTI BANDIA WATU WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WILAYANI CHATO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/bot-yawajengea-uwezo-wa-kutambua-noti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BOT YAWAJENGEA UWEZO WA KUTAMBUA NOTI BANDIA WATU WENYE ULEMAVU WA KUTOSIKIA WILAYANI CHATO"

Post a Comment