title : KUFUATIA MAUAJI KIGOMA WAZIRI LUGOLA ATOA AGIZO ZITO KWA IGP SIRRO.
kiungo : KUFUATIA MAUAJI KIGOMA WAZIRI LUGOLA ATOA AGIZO ZITO KWA IGP SIRRO.
KUFUATIA MAUAJI KIGOMA WAZIRI LUGOLA ATOA AGIZO ZITO KWA IGP SIRRO.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Tanzania, (IGP) Simon Sirro kuwaondoa katika nafasi zao Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo na mkuu wa operesheni mkoa huo.
Akiwa katika ziara ya kutembelea wilayani Uvinza mkoani humo leo Jumapili Novemba 11, 2018, ambapo zilitokea vurugu baina ya polisi na wananchi wa jamii ya Wanyantuzu na kusababisha vifo, waziri huyo pia ameagiza kuondolewa kwa mkuu wa operesheni mkoa na mkuu wa polisi wa wilaya ya Uvinza.
Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo kupitia mtandao wa Twitter imesema wengine wanaotakiwa kuondolewa ni mkuu wa intelijensia wilaya na askari wote wa kituo cha polisi Mpeta na Nguruka.
Hivyo makala KUFUATIA MAUAJI KIGOMA WAZIRI LUGOLA ATOA AGIZO ZITO KWA IGP SIRRO.
yaani makala yote KUFUATIA MAUAJI KIGOMA WAZIRI LUGOLA ATOA AGIZO ZITO KWA IGP SIRRO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUFUATIA MAUAJI KIGOMA WAZIRI LUGOLA ATOA AGIZO ZITO KWA IGP SIRRO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/kufuatia-mauaji-kigoma-waziri-lugola.html
0 Response to "KUFUATIA MAUAJI KIGOMA WAZIRI LUGOLA ATOA AGIZO ZITO KWA IGP SIRRO."
Post a Comment