title : BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA
kiungo : BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA
BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi vitabu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (kulia) na kukutana na baadhi ya viongozi na wahadhiri wa Chuo hicho. kushoto ni Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem katika picha y pamoja akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (wa nne kushoto).
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi kitabu Mkuu wa Chuo Cha Sayansi ya Kijamii na Masomo ya Kibinadamu Profesa, Albino Tenge kushoto na kulia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akielekeza jambo mara baada ya kukabidhi vitabu kwa uongozi wa Chuo hicho.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili katika Chuo Kikuu cha UDOM
Hivyo makala BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA
yaani makala yote BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/balozi-wa-kuwait-atembelea-chuo-kikuu.html
0 Response to "BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA"
Post a Comment