ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU

ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU
kiungo : ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU

soma pia


ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa huru kwa dhamana na kutakiwa kuripoti siku ya Jumanne saa tatu asubuhi kwa Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai (DCI) jijini Dar es Salaam.


Mwanasheria wa Zitto Kabwe amesema kuwa mpaka sasa mteja wake anatuhumiwa kwa makosa mawili tofauti likiwepo kuchapisha taarifa kinyume cha sheria ya mitandao lakini kosa jingine ni kutoa takwimu za uongo kinyume na kifungu cha 37 (5) cha sheria ya takwimu ya mwaka 2015 hivyo mwanasheria anasema Zitto Kabwe amehojiwa na kutoa maelezo yake hivyo wanasubiri kujua kama watakwenda mahakamani.


Kwa upande wake Zitto Kabwe amefunguka na kusema kwa sasa wanasubiri kuona wanapelekwa mahakamani ili waweze kujadiliana huko na kusema kama wao kuna makosa ambayo wanayaona kwake sehemu pekee ambayo wanaweza kwenda kufafanua vizuri ni mahakamani na kudai kuwa kama asingekamatwa angeshangaa kwa kuwa tayari Rais alikuwa ameshatoa agizo.

"Tunasubiri ni lini watatupeleka mahakamani kwa ajili ya kutetea masuala ambayo tumezungumza lakini ya ziada ni kama ambavyo Mwanasheria amezungumza kwa hapa ni makosa mawili ya Sheria ya Takwimu na Sheria ya makosa ya mitandao, wananchama waendelee kuwa watulivu tu kwa sababu kila mtu alitarajia kuwa tutakamatwa kwa kuwa Rais alisema kuwa nikamatwe hivyo tusingekamatwa ningeshangaa, la ziada ni kwamba tusubiri mahakamani itakuaje" alisisitiza Zitto Kabwe

Mbali na hilo kiongozi huyo wa ACT Wazalendo amewataka wanachama pamoja na viongozi wa chama hicho kuendelea na harakati za uchaguzi mdogo wa udiwani na kusema endapo wakishinda katika uchaguzi huo ni kitu ambacho kitakuwa faraja kwao


Hivyo makala ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU

yaani makala yote ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/zitto-kabwe-aachiwa-kwa-dhamana-kesi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZITTO KABWE AACHIWA KWA DHAMANA KESI YA MAKOSA YA MTANDAO NA SHERIA YA TAKWIMU"

Post a Comment