Zari aanika ukweli wote kuhusu Diamond

Zari aanika ukweli wote kuhusu Diamond - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zari aanika ukweli wote kuhusu Diamond, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zari aanika ukweli wote kuhusu Diamond
kiungo : Zari aanika ukweli wote kuhusu Diamond

soma pia


Zari aanika ukweli wote kuhusu Diamond

Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu kama Zari The Boss Lady amefunguka na kudai kuwa yeye na mpenzi wake huyo hawajaachana.
Akiongea katika U-Heard ya Clouds FM, Zari amedai kuwa hawajaachana kama inavyodaiwa  na watu hii ni kutokana na kuwa hakumu-wish happy birtday katika mitandao  ya kijamii kama ilivyozoeleka.
“Hakuna lolote baya linaloendelea kati yake na Diamond, na wanaheshima mikataba aliyonayo na kampuni pia hakuna chochote kibaya kinachoendele,” ameema mrembo huyo.
Pia akaongeza kuwa “Nilimu-wish siku yake ya kuzaliwa sema nilitumia njia ya kawaida,na tunajaribu kuhamisha maisha yetu katika mitandao kuwa ya kawaida.”
Vile vile mrembo huyo alisisitiza kuwa stori zinazoenezwa kuwa Nillan sio mtoto wa Diamond sio za kweli na kuhusu DNA pia sio kweli.


Hivyo makala Zari aanika ukweli wote kuhusu Diamond

yaani makala yote Zari aanika ukweli wote kuhusu Diamond Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zari aanika ukweli wote kuhusu Diamond mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/zari-aanika-ukweli-wote-kuhusu-diamond.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Zari aanika ukweli wote kuhusu Diamond"

Post a Comment