title : SPIKA DUGAI ALIPOKUTANA NA WALIOKUWA WANAFUNZI WENZAKE WAKATI ANASOMA SHULE YA SEKONDARI KIBAHA
kiungo : SPIKA DUGAI ALIPOKUTANA NA WALIOKUWA WANAFUNZI WENZAKE WAKATI ANASOMA SHULE YA SEKONDARI KIBAHA
SPIKA DUGAI ALIPOKUTANA NA WALIOKUWA WANAFUNZI WENZAKE WAKATI ANASOMA SHULE YA SEKONDARI KIBAHA
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na waliokuwa Wanafunzi wenzake wakati anasoma Shule ya Sekondari Kibaha, Mkoani Pwani walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Anayesalimiana na Mhe. Spika ni Ndg. Sadiki Alli na wengine kutoka kushoto ni Ndg. Jackson Kalikumtima, Eng. Hussein Mzara na Ndg. David Mchaina.
Spika wa Bunge akizungumza na waliokuwa Wanafunzi wenzake wakati anasoma Shule ya Sekondari Kibaha, Mkoani Pwani walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wakwanza kushoto kwa Mhe. Spika ni Ndg. Jackson Kalikumtima, Eng. Hussein Mzara, Ndg. Sadiki Alli na Ndg. David Mchaina.
Spika wa Bunge akizungumza na waliokuwa Wanafunzi wenzake wakati anasoma Shule ya Sekondari Kibaha, Mkoani Pwani walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wakwanza kushoto kwa Mhe. Spika ni Ndg. Jackson Kalikumtima, Eng. Hussein Mzara, Ndg. Sadiki Alli na Ndg. David Mchaina.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na waliokuwa Wanafunzi wenzake wakati anasoma Shule ya Sekondari Kibaha, Mkoani Pwani walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wakwanza kulia ni Ndg. Jackson Kalikumtima, Ndg. David Mchaina na kutoka kushoto ni Eng.Hussein Mzara na Ndg. Sadiki Alli.
Hivyo makala SPIKA DUGAI ALIPOKUTANA NA WALIOKUWA WANAFUNZI WENZAKE WAKATI ANASOMA SHULE YA SEKONDARI KIBAHA
yaani makala yote SPIKA DUGAI ALIPOKUTANA NA WALIOKUWA WANAFUNZI WENZAKE WAKATI ANASOMA SHULE YA SEKONDARI KIBAHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA DUGAI ALIPOKUTANA NA WALIOKUWA WANAFUNZI WENZAKE WAKATI ANASOMA SHULE YA SEKONDARI KIBAHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/spika-dugai-alipokutana-na-waliokuwa.html
0 Response to "SPIKA DUGAI ALIPOKUTANA NA WALIOKUWA WANAFUNZI WENZAKE WAKATI ANASOMA SHULE YA SEKONDARI KIBAHA"
Post a Comment