WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI.

WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI.
kiungo : WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI.

soma pia


WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI.

Mwambawahabari

DSC_0009
Kushoto Waziri wa Mifupo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akiongea na baadhi ya watumishi wa Wizara hiyo hawapo katika picha, katika Ofisi a Dar es Salaam mara baada ya kuripoti, katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Abdalah Ulega kulia  ni Dkt. Yohana Budeba katibu Mkuu wa Wizara hiyo upande wa Uvuvi.
DSC_0015
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akiweka sahini katika kitabu cha wageni cha Wizara hiyo mara maaba ya kuripoti.
DSC_0017
Kushoto Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina, akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara Mpya ya Mifugo na Uvuvi upande wa mifugo Dkt. Maria Mashingo kulia, wakati wa mazungumzo mafupi mara baada ya kuripoti katika Wizara hiyo.
DSC_0008
Katika picha sehemu ya baadhi ya watumishi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakifurahia jambo mara baada ya kuwapokea Mawaziri waliopewa dhamana ya wizara hiyo mpya, hawapo katika picha.
DSC_0020
Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalah Ulega Akimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Mpya Mhe. Luhaga Joelson Mpina hayupo katika picha mara baada ya Mawaziri hao kuripoti katika Wizara hiyo katika Ofisi za Dar es Salaam.


Hivyo makala WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI.

yaani makala yote WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-mpina-aanza-katika-wizara-mpya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI."

Post a Comment