WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA
kiungo : WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA

soma pia


WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA

Mapema leo Ijumaa Oktoba 13,washiriki hao wa shindano hilo la mrembo wa mkoa wa Shinyanga linalotarajiwa kufanyika Oktoba 15 mwaka huu,walimwagilia maji miti mbalimbali iliyopandwa mjini Shinyanga.

Akizungumza wakati wa zoezi hilo,Mwandaaji wa shindano la Miss Shinyanga mwaka 2017,Grace Shija alisema pamoja na kufanya maandalizi ya shindano hilo pia wanashiriki katika shughuli za kijamii. 

“Sisi kama sehemu ya jamii tumeamua kushiriki katika kampeni ya upandaji miti kwa kumwagilia maji miti iliyopandwa katika maeneo mbalimbali mjini Shinyanga kwa kujaza maji kwenye chupa zilizowekwa kutiririsha matone ya maji kwenye miti hiyo”,alieleza Shija. 

Akizungumzia kuhusu shindano la Miss Shinyanga mwaka huu alisema jumla ya warembo 12 kutoka wilaya zote za mkoa wa Shinyanga watachuana siku ya Jumapili Oktoba 15,2017 katika ukumbi wa NSSF ya Zamani mjini Shinyanga kuanzia saa mbili usiku ili kupata mrembo wa mkoa mwaka huu. 


Washiriki wa shindano la kutafuta mrembo wa mkoa wa Shinyanga “Miss Shinyanga 2017”,wameunga mkono kampeni ya upandaji miti iliyoanzishwa katika wilaya ya Shinyanga na Mkuu wa wilaya hiyo Josephine Matiro hivi karibuni ili kupambana na hali ya ukame/jangwa mkoani humo. 

Washiriki wa shindano la kutafuta mrembo wa mkoa wa Shinyanga “Miss Shinyanga 2017” wakiwa wamebeba madumu ya maji kwa ajili ya kuweka kwenye miti ambayo inamwagiliwa maji kwa njia ya makopo ya maji yaliyotobolewa kwa ajili ya kutoa matone kidogo kidogo 
Zoezi la kumwagilia maji miti likiendelea 
Warembo wakielekea katika eneo jingine kwa ajili ya kumwagili maji miti iliyopandwa hivi karibuni 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA

yaani makala yote WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/washiriki-wa-shindano-la-miss-shinyanga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS SHINYANGA 2017 WAUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI SHINYANGA"

Post a Comment