title : MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI
kiungo : MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI
MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Baba Mdogo wa Marehemu Hassan Rashid Shebuge, Bw. Juma Hassan Shebuge mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Mbagala Maji Matitu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombelezo ya Marehemu Hassan Rashid Shebuge,nyumbani kwa marehemu Mbagala Maji Matitu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa mkono wa pole na kumfariji mjane wa Marehemu Hassan Rashid Shebuge,nyumbani kwa marehemu Mbagala Maji Matitu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili Marehemu Hassan Rashid Shebuge,nyumbani kwa marehemu Mbagala Maji Matitu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akitoa salaam za Serikali mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Hassan Rashid Shebuge.
Marehemu Hassan Shebuge ambaye alikuwa Karani wa Baraza la Mawaziri alifariki jana tarehe 6, Julai katika hospitali ya Muhimbili kwa shinikizo la Damu. (# Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/makamu-wa-rais-aongoza-mamia-kutoa.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI"
Post a Comment