Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktabi Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saud Arabia.

Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktabi Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saud Arabia. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktabi Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saud Arabia., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktabi Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saud Arabia.
kiungo : Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktabi Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saud Arabia.

soma pia


Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktabi Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saud Arabia.

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akipokea zawadi ya mapambo yenye mfano wa sahani baada ya mazungumzo yake na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani (WAMY) kuhusiana na matibabu yatakayoyaendeshwa Kisiwani Pemba mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani(WAMY)kuhusiana na matibabu watakayoyaendeshaKisiwani Pemba mazungumzo yaliofanyika katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.
Kiongozi wa Ujumbe wa Madaktari bingwa kutoka Jumuiya ya Kiislamu Duniani (WAMY) Dk,Sultan akizungumza machache kuhusiana na matibabu watakayoyaendesha wakati walipokutana nakufanya mazungumzo katika Hoteli ya Mizingani Forodhani mjini Unguja.madaktari hao watakuwepo kisiwani Pemba kutoa matibabu mbalimbali ikiwemo matatizo ya akina mama na mifupa kwa siku 10.


Hivyo makala Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktabi Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saud Arabia.

yaani makala yote Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktabi Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saud Arabia. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktabi Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saud Arabia. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/waziri-wa-afya-zanzibar-azungumza-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri wa Afya Zanzibar Azungumza na Ujumbe wa Madaktabi Bingwa Kutoka Jumuiya ya Kiislam ya Saud Arabia."

Post a Comment