title : Washindi wa Vipaji vya Sauti lafikia tamati jijini Dar es slaam , washindi Kumi kwenda China
kiungo : Washindi wa Vipaji vya Sauti lafikia tamati jijini Dar es slaam , washindi Kumi kwenda China
Washindi wa Vipaji vya Sauti lafikia tamati jijini Dar es slaam , washindi Kumi kwenda China
STARTIMES Tanzania kupitia chaneli yake ya Star Swahili hatimaye imemaliza shindano la kusaka vipaji vya sauti katika fainali iliyofanyika Ijumaa hii jijini la Dar es Salaam.
Shindano hili lilifanyika katika mikoa ya Mwanza na Dar es Salaam pamoja na Zanzibar na kupatikana washindi takribani 25 waliofuzu kuingia fainali. Washindi kumi wamepatikana ambao watakwenda kufanya kazi ya kuigiza sauti makao makuu ya Kampuni ya Startimes nchini China.
Akizungumza wakati wa Fainali hiyo Makamu wa Rais wa Startimes Tanzania, Zuhura Hanif alisema Washindi wa mwaka jana wamepata nafasi ya kuhudhuria makongamano makubwa ya kuonyeshatamaduni mmablimbali likiwemo lile la One Belt One Road na kufanya onyesho la Kiswahili.Pia Shindano hili ni nafasi ya kukabiliana na tatizo la ajira kwani washindi wanaopatikana, moja kwa moja hupata nafasi ya Ajira makao makuu ya Kampuni ya Startimes nchini China.
Msanii maarufu nchini Tanzania Kutoka kundi la Orijino Komedi maarufu kama Mpoki a k a Muarabu wa Dubai(wa kwanza kulia) kizungumza jambo mara baada ya kutaja washindi 25 waliofuzu kuingia fainali ya shindano la Vipaji vya Sauti katika tamthiliya za kigeni kwa awamu ya pili ya mwaka 2017.
Majajji wa shindano la vipaji vya sauti la awamu ya pili lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dar es Salaam leo. Wa kwanza kishoto ni Msanii wa filamu nchini Jacob Stephen maarufu kama JB, kulia Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto pamoja na aliyekuwa mshindi wa shindano la vipaji vya sauti mwaka 2016/17.
Washindi 10 wa shindano la vipaji vya sauti walioshinda kwenda nchini China kufanya kazi makao makuu ya Kampuni ya Startimes kwenye fainali hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa washindi walioingia kumi bora akipokea zawadi ya simu ya Startimes kutoka kwa Makamu wa Rais wa Startimes Tanzania, Zuhura Hanif mara baada ya kumalizika kwa shindano la vipaji vya sauti msimu wa pili lililofanyika katika ukumbi wa LAPF jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Dkt. Seleman Sewangi(kulia) akimkabidhi zawadi ya Television ya Startimes mshindi wa kwanza wa shindano la vipaji vya sauti msimu wa pili, Coletha Raymond mara baada ya kuibuka mshindi wa shindano hilo.
Hivyo makala Washindi wa Vipaji vya Sauti lafikia tamati jijini Dar es slaam , washindi Kumi kwenda China
yaani makala yote Washindi wa Vipaji vya Sauti lafikia tamati jijini Dar es slaam , washindi Kumi kwenda China Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Washindi wa Vipaji vya Sauti lafikia tamati jijini Dar es slaam , washindi Kumi kwenda China mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/washindi-wa-vipaji-vya-sauti-lafikia.html
0 Response to "Washindi wa Vipaji vya Sauti lafikia tamati jijini Dar es slaam , washindi Kumi kwenda China"
Post a Comment