WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA

WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA
kiungo : WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA

soma pia


WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA

Na Rhoda Ezekiel Kigoma, 

WAKULIMA wilayani Kakonko mkoani Kigoma, wametakiwa kulima kilimo cha biashara na kuachana na kilimo cha kujikimu wenyewe ili kuweza kuondokana na umasikini.

Mwito huo ulitolewa jana katika Kijiji cha Kiga wilayani hapo na Ofisa Kilimo wa Mkoa wa Kigoma, Josephu Lubuye wakati wa ugawaji wa mashine ya kuchakata Muhogo kwa kikundi cha Mwendo wa saa, iliyo tolewa na Shirika la BTC kupitia mradi wa kilimo wa ENABEL unaotekelezwa na Serikali ya Ubelgiji na Tanzania.

Lengo ni kuendeleza kilimo cha muhogo na maharage kwa kuwakopesha wakulima mashine na kuwapatia mafunzo ya namna ya kulima kitaalamu.

Hivyo Lubuye amesema wakulima wanatakiwa kubadilika na kuanza kilimo cha biashara na mashine hiyo waliyoipata itumike kuchakata mazao mengi ya mihogo waliyolima kutokana na maombi na aandiko lao la kuomba mashine ya kuchakata mihogo.

Amesema hiyo itaongeza uzalishaji wa zao hilo kwa wingi ili wakulima wengine wajifunze kupitia kikundi hicho kutokana na uzalishaji watakaoufanya kupitia mafunzo ya kilimo cha biashara waliyo yapata kuongeza uzalishaji na ubora.

Akikabidhi mashine hiyo yenye thamani ya Sh.milioni mbili na yenye uwezo wa kuzalisha kilo 700 kwa saa moja na hufanya kazi kwa muda wa saa nane, Mkuu wa wilaya ya Kakonko kanali Hosea Ndagala amewataka wakulima kuacha kuuza mazao ambayo hayajaongezwa thamani.
 Mkuu wa wilaya ya Kakonko kanali Hosea Ndagala akikabidhi  mashine  ya kuchakata muhogo,yenye thamani ya Sh.milioni mbili na yenye uwezo wa kuzalisha kilo 700 kwa saa moja.DC Ndagala amekabidhi hiyo mashine ya kuchakata Muhogo kwa kikundi cha Mwendo wa saa, iliyo tolewa na Shirika la BTC kupitia mradi wa kilimo wa ENABEL unaotekelezwa na Serikali ya Ubelgiji na Tanzania.
 Sehemu ya shamba ka Muhogo. 
 Mkuu wa wilaya ya Kakonko kanali Hosea Ndagala akitumbukiza muhogo kwenye mashine ya kuchakata muhogo,ili kujionea ufanyaji wake kazi,mashine hiyo ina uwezo wa kuzalisha kilo 700 kwa saa moja.
Mihogo ilioandaliwa tayari kwa kuchakatwa na mashine.



Hivyo makala WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA

yaani makala yote WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/wakulima-kakonko-wahimizwa-kulima.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA"

Post a Comment