UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA.

UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA.
kiungo : UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA.

soma pia


UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA.

Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange 'Kaburu'  wakitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kesi  inayowakabili ya utakatishaji fedha na kugushi kuahirishwa hadi Oktoba 11,2017 kwaajili ya upelelezi kutokukamilika. 

Evans Aveva na makamu wake, Geofrey wanakabiliwa na mashtaka matano ya kughushi, kuwasilisha nyaraka ya uongo na kutakatisha Dola za kimarekani 300,000.


Hivyo makala UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA.

yaani makala yote UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/upelelezi-wa-kesi-ya-rais-wa-simba-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UPELELEZI WA KESI YA RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE HAUJAKAMILIKA."

Post a Comment