Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2

Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2
kiungo : Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2

soma pia


Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 

SERIKALI imesema katika kukuza biashara nchini imesema inatarajia kuzindua Muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2, mwaka huu kupitia Serikali Mitaa ili kutekeleza lengo la ufufuaji na uendeshaji viwanda nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari jana katika VIwanja vya Maonyesho ya 42 Sabasaba, Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Profesa Elisante Ole Gabriel, amesema tayari Serikali imeridhia uanzishwaji wa mchakato huo.

Alisema tayari mikakati mbalimbali inaandaliwa kuhakikisha mkakati huo unakua endelevu.Amesema Serikali imedhamiria kukuza uchumi wa viwanda na ili kufikia malengo tutazindua mpango huu,"alisema Gabriel.Profesa Ole Gabriel sema kauli mbiu ya Maonyesho ya Sabasaba mwaka huu ni ukuzaji Biashara kwa ajili ya maendeleo ya Viwanda.

Gabriel alisema, kauli mbiu hiyo imeteuliwa kwa lengo kukuza uchumi wa viwanda hapa nchini.Amesema unapoangalia uchumi wa viwanda ni lazima uangalie bidhaa zinazouzwa ndani ya nchi," alisema Gabriel.Alisema Serikali ya awamu ya Tano imejidhatiti kuweka uchumi wa viwanda hivyo ni wajibu kwa kila taasisi itengeneze bidhaa bora itakayoingia katika uchumi wa viwanda.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Nchini (Tantrade), Edwin Rutageruka, alisema wanakuza biashara ili kupata kodi, ajira na kukuza viwanda nchini.Amesema maonyesho ya mwaka huu, yatafunguliwa Julai 2, ambapo hadi hivi sasa tayari wageni 33 wametoka nje ya nchi na washiriki wa ndani ni 2,956 na taasisi za Serikali 127.

"Tunashukuru kwa mwaka huu washiriki wa nje wameongezeka kwa mwaka jana walikuwepo 30,"alisema Rutageruka 
katibu MkuuTIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Uwekezaji Profesa Olisante Ole Gabriel, akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Shirika Simu Tanzania (TTCL) Rachael Mremi kuhusu huduma ya 4G wakati alipotembelea banda la shirika hilo, katika Maonyesho ya 42 ya ya Kimataifa ya Biashara, viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, B, Dar es salaam.


Hivyo makala Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2

yaani makala yote Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/serikali-inatarajia-kuzindua-muongozo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Serikali inatarajia kuzindua muongozo wa Uendeshaji Viwanda nchini Julai 2"

Post a Comment