title : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI LEO
kiungo : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI LEO
SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI LEO
SIMU.TV: Mamlaka za upimaji na kupanga maeneo nchini zimeshauriwa kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya viwanda na makazi kwa kuzingatia utunzaji wa mazingira; https://youtu.be/ayvV8v94aKc
SIMU.TV: Mkuu wa magereza nchini kamishina jenerali Dr Juma Malewa ametoa wito kwa askari wa jeshi hilo kutumia kikamilifu rasilimali walizonazo kukuza uchumi; https://youtu.be/s7uddn9hvoE
SIMU.TV: Kituo cha huduma cha pamoja cha ushuru na forodha cha Rusumo wilayani Ngara kimeanza kufanya kazi kwa masaa 24 ili kupunguza msongamano wa wateja; https://youtu.be/91SBRM0QV9w
SIMU.TV: Rais wa Zanzibar Dr Alli Shein amewaapisha viongozi wa taasisi mbalimbali visiwani humo ambao aliwateua hivi karibuni; https://youtu.be/SsMSynToREA
Makamu wa Rais Samia Suluhu amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki uzinduzi wa makumbusho ya Olduvai Gorge hapo kesho wilayani Ngorongoro; https://youtu.be/qpgoKfLRQ1M
SIMU.TV: Uongozi wa wilaya ya Kyela umetoa muda wa siku 7 kwa wamiliki wa vibanda vya biashara katika stendi ya Kasumulu kubomoa mabanda yao kupisha ujenzi wa kituo cha kisasa; https://youtu.be/L5d1NFmZDxw
SIMU.TV: Hifadhi ya taifa ya Ruaha imevunja rekodi ya kutembelewa na watalii wa ndani zaidi ya 160 katika kipindi cha siku mbili; https://youtu.be/0ocNf5kCSOg
SIMU.TV: Uzalishaji wa mbaazi unatarajiwa kuongezeka nchini Tanzania kutokana na kupatikana kwa masoko mapya katika nchi za Afrika kusini, Uingereza na mashariki ya kati; https://youtu.be/bC0LSbTVd3c
SIMU.TV: Mkuu wa chuo cha elimu ya biashara CBE Prof Emmanuel Mjema amevishauri viwanda nchini Tanzania kuzalisha bidhaa zenye ubora kuhimili ushindani; https://youtu.be/RbHsUN1uiv8
SIMU.TV: Mfuko wa pensheni wa PSPF umeanza kushirikiana na benki mbalimbali nchini ili kuwawezesha wateja kuweza kupata mikopo kwa urahisi; https://youtu.be/pJToIgsiMZY
SIMU.TV: Fahamu hapa taarifa mbalimbali kuhusiana na kupanda kwa kushuka kwa bei za hisa katika soko la hisa jijini Dar Es salaam maarufu kama DSE; https://youtu.be/p2IbCCjJJ10
SIMU.TV: Mfuko wa pensheni wa PPF umetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.4 kuwasomesha watoto wa wanachama wa mfuko huo waliofariki dunia; https://youtu.be/VWhHbL83y1o
SIMU.TV: Wakulima wilayani Kalambo mkoani Rukwa wametakiwa kuacha mara moja tabia ya ukataji wa miti kwa shughuli za kibinadamu kinyume cha sheria; https://youtu.be/boOzp_K877o
SIMU.TV: Wakazi wa eneo la Bombambili kata ya Kivule jijini Dar Es salaam wameiomba serikali kuwapelekea huduma za Umeme na barabara nzuri; https://youtu.be/eg_vM7S-vNc
SIMU.TV: Ujenzi wa barabara ya mita 700 katika mtaa wa Olympio Upanga jijini Dar Es salaam kwa kiwango cha lami umekamilika; https://youtu.be/7x-yTanUPRo
SIMU.TV: Mastaa wa Tanzania wanaosakata soka la kulipwa nje ya nchi wameanza kuripoti nchini kujiunga na kambi ya timu ya taifa kuwasubiri Malawi; https://youtu.be/W6ECz52YMXg
SIMU.TV: Kocha msaidizi wa Ngorongoro Heroes Oscar Mirambo amesema kambi ya timu hiyo imeanza leo kwa ajili ya kupata kikosi bora kutoka kwa vijana 50 walioitwa; https://youtu.be/_5quy0rt9UA
SIMU.TV: Serikali imewaomba wadau wa michezo kuwekeza katika soka la vijana kwa kuwekeza kupitia mashuleni ambako kuna vipaji vingi zaidi; https://youtu.be/tj56UuDqDVE
SIMU.TV: Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotions Alex Masama amewaomba wasanii kuungana na serikali katika harakati za kuwasaka wezi wa kazi za sanaa; https://youtu.be/3juTI9438HU
SIMU.TV: Shirikisho la soka barani Afrika CAF limethibitisha nchi za Morocco, Equtorial Guinnea na Ethiopia zimetuma maombi ya kuomba kuandaa michuano ya CHAN; https://youtu.be/vYfMQv9MShY
SIMU.TV: Katibu mkuu wa wizara ya Maji Prof.Mkumbo ataka jamii zinazoishi pembezoni mwa vyanzo vya maji kupatiwa elimu ta utunzaji mazingira. https://youtu.be/xvwGLmfBoqY
SIMU.TV: Naibu waziri Luhaga Mpina, akikalia kooni kiwanda cha sukari cha Mtibwa, kufuatia matumizi ya magogo katika uzalishaji licha ya kuzuiwa kufanya hivyo awali. https://youtu.be/91Uiom9zXLs
SIMU.TV: Hospitali ya rufaa ya Bugando iliyoko mkoani Mwanza yaelezwa kukabiliwa na uhaba mkubwa wa wataalamu na vifaa vya matibabu ya moyo. https://youtu.be/vi3lShsfxds
SIMU.TV: Vyama vya ushirika nchini, vimeaswa kuanzisha viwanda vidogo vidogo ili viweze kuleta tija katika ujenzi wa taifa. https://youtu.be/wboV_lNYt2A
Hivyo makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI LEO
yaani makala yote SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/simu-tv-habari-kutoka-televisheni-leo.html
0 Response to "SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI LEO"
Post a Comment