SERIKALI: RASILIMALI ZA BAHARI ZITUMIKE KWA MASILAHI YA WATANZANIA

SERIKALI: RASILIMALI ZA BAHARI ZITUMIKE KWA MASILAHI YA WATANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI: RASILIMALI ZA BAHARI ZITUMIKE KWA MASILAHI YA WATANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI: RASILIMALI ZA BAHARI ZITUMIKE KWA MASILAHI YA WATANZANIA
kiungo : SERIKALI: RASILIMALI ZA BAHARI ZITUMIKE KWA MASILAHI YA WATANZANIA

soma pia


SERIKALI: RASILIMALI ZA BAHARI ZITUMIKE KWA MASILAHI YA WATANZANIA

Serikali  imesema kuwa itahakikisha rasilimali za bahari zinatumika kwa ajili ya watanzania Wote

Hayo aliyasema Waziri, Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar, Ahmad Rashid alipofanya ziara ya ukaguzi wa  meli ya  uvuvi  katika bandari ya Zanzibar mapema leo.

Rashid amesema  kuwa rasilimali za baharini zikitumika  ipasavyo zinaweza kuleta maendeleo na kuhakikisha uvuvi unaofanyika katika bahari unafuata taratibu  kwa masilahi ya taifa .

Katika ukaguzi  huo wa meli hiyo Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar, Ahmad Rashid pamoja na Naibu Waziri wa Kilimo na Mifugo, Abdallah Ulega wametembelea ofisi za utoaji leseni wa meli za uvuvi  ya  serikali ya mapinduzi Zanzibar .

Amesema sheria iko wazi  kwa hivyo  lazima rasilimali za Tanzania  ikiwemo na bahari iwanufaishe watanzania  wote bila kujali vyama vyao.

Nae Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvia, Abdallah Ulega amesema  serikali zote mbili zitahakikisha rasilimali za bahari  zinatumiwa na watanzania na sio kwa wageni tu. Amesema watasimamia sheria za uvuvi katika kulinda rasilimali za bahari ili ziweze kuleta maendeleo kwa watanzania.

Nae Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Zanzibar, Hosea Mbilinyi  amesema  mamlaka imepiga hatua katika  kuhakisha rasilimali za bahari zinanufaisha Tanzania
 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Zanzabar, Ahmad Rashid akizungumza katika ukaguzi wa Meli ya Uvuvi ya China katika bandari ya Zanzibar.
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza baada ya ukaguzi wa meli ya uvuvi wa China katika Bandari ya Zanzibar ili kujionea shughuli za uvuvi katika eneo hilo.
 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Zanzabar, Ahmad Rashid(kulia) na  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega(kushoto) wakiwa wameshika Samaki ambaye amevuliwa na Meli ya Uvuvi yaa China katika Bandari za Zanzibar .
 Wavuvi wakiendelea na kazi.
Muonekano wa Meli ya Uvuvi ya China katika bandari ya Zanzibar. Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii.


Hivyo makala SERIKALI: RASILIMALI ZA BAHARI ZITUMIKE KWA MASILAHI YA WATANZANIA

yaani makala yote SERIKALI: RASILIMALI ZA BAHARI ZITUMIKE KWA MASILAHI YA WATANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI: RASILIMALI ZA BAHARI ZITUMIKE KWA MASILAHI YA WATANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/serikali-rasilimali-za-bahari-zitumike.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI: RASILIMALI ZA BAHARI ZITUMIKE KWA MASILAHI YA WATANZANIA"

Post a Comment