title : CCM Yatoa Tamko Tundu Lissu Kupigwa Risasi
kiungo : CCM Yatoa Tamko Tundu Lissu Kupigwa Risasi
CCM Yatoa Tamko Tundu Lissu Kupigwa Risasi
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole kimelaani kitendo alichofanyiwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa kupigwa risasi leo mchana nyumbani kwake Dodoma.
Taarifa hiyo ya CCM inalaani kitendo hicho cha kikatili na kusema si kitendo cha utu hivyo kimelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kuwachukulia sheria kali wote ambao watapatikana kuhusika katika tukio hilo.

Hivyo makala CCM Yatoa Tamko Tundu Lissu Kupigwa Risasi
yaani makala yote CCM Yatoa Tamko Tundu Lissu Kupigwa Risasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM Yatoa Tamko Tundu Lissu Kupigwa Risasi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/ccm-yatoa-tamko-tundu-lissu-kupigwa.html
0 Response to "CCM Yatoa Tamko Tundu Lissu Kupigwa Risasi"
Post a Comment