RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU

RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU
kiungo : RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU

soma pia


RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU

Mwambawahabari

Rais Magufuli akihutubia.
RAIS John Magufuli ambaye leo Oktoba 14, 2017 ni Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Kumbukumbu ya kifo cha Rais wa kwanza wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Kilele cha Mbio za Mwenge amesema amejisikia faraja kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo ikiwa ni mara yake ya kwanza kushiriki maadhimisho hayo tangu awe Rais.
Aidha, Magufuli amemuelezea Hayati Mwl. Nyerere kama kiongozi shupavu alipeginani maslahi ya wanyonge na kupambana na wakoloni katyika kufanikisha kupatikana kwa Uhuru wa Tanganyika, Zanzibar na nchi nyingine za Afrika.
Amesema Nyerere alianza harakati za siasa mwaka 1953 baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama cha TAA ambacho baadaye kilizaa TANU huku akiwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari ambayo kwa sasa inaitwa Pugu Sekondari ambapo baadaye aliacha kazi hiyo ya kiufundisha na kujikita kwenye siasa za ukombozi.
Magufuli piua amesema iwapo Mwl. Nyerere angekuwa kiongozi mwenye tamaa au mbinafs, basi angechukua fukwe zote za Msasani, jijini Dar es Salaam na kuzifanya ziwe za mali yake, lakini hakufanya hivyo kwa sababu ya uzalendo mkiubwa aliokuwa nao.
Rais amesisitiza kuwa kamwe hatokukubali mbio za Mwenge wa Uhuru zifutwe katika kipindi chake cha uongozi, kwani mwenge huo una manufaa makubwa kwa Taifa ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali za maendelo pamoja na kuwa nembo muhimu kwa Taifa letu.
Amesema wanaotaka mwenge huo ufutwe huenda hawajui historia ya nchi hii na kwamba kama wanaweza kukubali fimbo na kombe la dunia vikaletwa nchini na wakavipokea basi mbio za mwenge ni muhimu zaidi kuliko wanavyodhani.
Akizungumzia hali ya uchumi wa nchi, rais amekanusha wanaodai kuwa uchumi umeshuka huku akieleza kuwa uchumi wa Tanzania unazidi kupanda hukui mfumuko wa bei ukishuka na matokeo yake yanaonekana kwenye bidhaa pamoja na kushuka bei zake. Pia ameeleza kuongezeka kwa viwanda na wawekezaji wa kibiashara hapa nchini.


Hivyo makala RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-magufuli-agoma-kuufuta-mwenge-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI AGOMA KUUFUTA MWENGE WA UHURU"

Post a Comment