Tanzania yajitwalia medali za dhahabu Tamasha la Michezo Afrika Mashariki

Tanzania yajitwalia medali za dhahabu Tamasha la Michezo Afrika Mashariki - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tanzania yajitwalia medali za dhahabu Tamasha la Michezo Afrika Mashariki, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tanzania yajitwalia medali za dhahabu Tamasha la Michezo Afrika Mashariki
kiungo : Tanzania yajitwalia medali za dhahabu Tamasha la Michezo Afrika Mashariki

soma pia


Tanzania yajitwalia medali za dhahabu Tamasha la Michezo Afrika Mashariki

Timu za mpira wa miguu za Wanawake ya Tanzania (waliovalia jezi nyeupe) na Burundi wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa mechi ya marudiano iliyofanyika katika uwanja wa Gitega, Burundi. Katika mpambano huo wa Tamasha la Michezo la Afrika Mashariki linaloendelea nchini humo Tanzania imeibuka na ushindi wa goli 5-0 dhidi ya Burundi katika

Aidha, Tamasha la Michezo la Afrika Mashariki katika kipengele cha mpira wa miguu limekamilisha ratiba kwa mpambano kati ya Tanzania na Burundi, ambapo Tanzania imejishindia medali ya dhahabu kufuatia ushidi ilioupata. Burundi imejitwalia medali ya fedha kwa kushika nafasi ya pili katika mchezo huo.

Katika mchezo wa awali Tanzania iliibuka na ushindi wa goli 8-1 dhidi ya Burundi.
Timu ya mpira wa miguu ya Wanawake ya Tanzania ikishangilia ushindi wa medali za dhahabu kufuatia ushindi wa goli 5-0 ilioupata dhidi ya Burudi katika Tamasha la Michezo la Afrika Mashariki 
Sehemu ya mashabiki wakishangilia mchezo uliokuwa ukiendelea kati ya Tanzania na Burundi 
Mmoja wa wachezaji wa timu ya Tanzania akipongezwa na Bw. Addo Komba Afisa kutoka Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo mara baada ya kuvishwa medali ya dhahabu .



Hivyo makala Tanzania yajitwalia medali za dhahabu Tamasha la Michezo Afrika Mashariki

yaani makala yote Tanzania yajitwalia medali za dhahabu Tamasha la Michezo Afrika Mashariki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tanzania yajitwalia medali za dhahabu Tamasha la Michezo Afrika Mashariki mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/tanzania-yajitwalia-medali-za-dhahabu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Tanzania yajitwalia medali za dhahabu Tamasha la Michezo Afrika Mashariki"

Post a Comment