RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA

 Waziri wa Madini Angellah Jasmine Kairuki akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi. Jumla ya Mawaziri nane na Manaibu 16 wameapishwa pamoja na Katibu wa Bunge. 
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel Shonza akitia saini katika hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Justus Nditiye akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe. Kangi Lugola akipokea hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kula kiapo hicho leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Seleman Said Jafo akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Naibu Waziri wa Habari, Utamduni, Sanaa na Michezo mara baada kumalizika kwa hafla ya kiap oleo Ikulu Jijini Dar es Salaam.Picha na Frank Shija - MAELEZO



Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-dkt-magufuli-awaapisha-mawaziri-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA"

Post a Comment