title : Rais Dk Shein akutana na kuzungumza na uongozi wa wizara ya Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto
kiungo : Rais Dk Shein akutana na kuzungumza na uongozi wa wizara ya Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto
Rais Dk Shein akutana na kuzungumza na uongozi wa wizara ya Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 28/10 /2017.
Maafisa katika Idara za zilizochini ya Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Vijana,Wanawake na Watoto wakiwa katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 28/10 /2017.
Baadhi ya Wakurugenzi katika Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Vijana,Wanawake na Watoto wakiwa katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), [Picha na Ikulu.] 28/10 /2017.
Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Vijana,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Syrus Castco (katikati) akisoma taarifa yake katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara hiyo katika Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri Mhe. Shadya Mohamed Suleiman,[Picha na Ikulu.] 24/10 /2017.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Vijana,Wanawake na Watoto Nd,Fatma Gharib Bilal akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Watoto Bi. Zainab Omar Mohamed(kushoto), [Picha na Ikulu.] 24/10 /2017.
Mshauri wa Rais Ushirkiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Mhe,Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia) alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Vijana,Wanawake na Watoto kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto),[Picha na Ikulu.] 28/10 /2017.
Hivyo makala Rais Dk Shein akutana na kuzungumza na uongozi wa wizara ya Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto
yaani makala yote Rais Dk Shein akutana na kuzungumza na uongozi wa wizara ya Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein akutana na kuzungumza na uongozi wa wizara ya Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-dk-shein-akutana-na-kuzungumza-na.html
0 Response to "Rais Dk Shein akutana na kuzungumza na uongozi wa wizara ya Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto"
Post a Comment