MAANDAMANO YA KIMAMBE YATUA KWA MASAUNI

MAANDAMANO YA KIMAMBE YATUA KWA MASAUNI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAANDAMANO YA KIMAMBE YATUA KWA MASAUNI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAANDAMANO YA KIMAMBE YATUA KWA MASAUNI
kiungo : MAANDAMANO YA KIMAMBE YATUA KWA MASAUNI

soma pia


MAANDAMANO YA KIMAMBE YATUA KWA MASAUNI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amejitosa sakata maandamano linalosambaa katika mitandao ya kijamii, kwa kuwaonya wanaotishia kuandamana kwa kusema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama viko imara.

Masauni ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Machi 15, jijini Dar es Salaam wakati akipokea vituo sita vya polisi vinavyohamishika vilivyotolewa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni.

“Kuna watu wako ndani ya nchi na wengine nje ya nchi wanaotaka kukwamisha ajenda ya maendeleo watupeleke kwenye ajenda zisizo za msingi.

“Utasikia mwingine anasingizia polisi kuwa katekwa kumbe kajiteka mwenyewe, mwingine anataka watu waandamane, yaani watu waache kutumia fursa zilizopo kwa mfano jana Rais kazindua reli ya umeme ambayo mimi nilikuwa naiona Ulaya leo inajengwa Tanzania, waache  kutumia fursa za viwanda vinavyoibuka kwa wingi kama uyoga eti wakaandamane.

“Ninachoweza kuwahahikikishia ni kwamba vyombo vyetu viko imara,” amesema Masauni.


Hivyo makala MAANDAMANO YA KIMAMBE YATUA KWA MASAUNI

yaani makala yote MAANDAMANO YA KIMAMBE YATUA KWA MASAUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAANDAMANO YA KIMAMBE YATUA KWA MASAUNI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/maandamano-ya-kimambe-yatua-kwa-masauni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAANDAMANO YA KIMAMBE YATUA KWA MASAUNI"

Post a Comment