Mtihani wa Taifa kidato cha nne ...Katibu Mkuu NECTA Awaasa Kutojihusisha na Udanganyifu

Mtihani wa Taifa kidato cha nne ...Katibu Mkuu NECTA Awaasa Kutojihusisha na Udanganyifu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mtihani wa Taifa kidato cha nne ...Katibu Mkuu NECTA Awaasa Kutojihusisha na Udanganyifu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mtihani wa Taifa kidato cha nne ...Katibu Mkuu NECTA Awaasa Kutojihusisha na Udanganyifu
kiungo : Mtihani wa Taifa kidato cha nne ...Katibu Mkuu NECTA Awaasa Kutojihusisha na Udanganyifu

soma pia


Mtihani wa Taifa kidato cha nne ...Katibu Mkuu NECTA Awaasa Kutojihusisha na Udanganyifu

Mwambawahabari 


Watahiniwa 385,938 wanatarajiwa kutafanya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne nchini.

Akizungumza leo Jumapili, Oktoba 29,2017 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema kati ya watahiniwa hao, 323,513 ni wa shule na 62,425 ni wa kujitegemea.

Dk Msonde amesema mtihani huo utaanza kesho Oktoba 30,2017 hadi Novemba 17,2017.

Dk Msonde amesema maandalizi ya mitihani yameshakamilika."Hivi ninavyozungumza mitihani imeshafika kwenye vituo.”

Amezitaka kamati za mitihani za mikoa na halmashauri kuhakikisha utaratibu wa uendeshaji wa mitihani unafuatwa.

Katibu mtendaji huyo amewataka wanafunzi kuacha vitendo vya udanganyifu wakati wa kufanya mitihani kwa kuwa wanaweza kufaulu bila kufanya hivyo.

"Mliyojifunza yanatosha fanyeni mitihani kwa kufuata utaratibu uliowekwa," amesema.

Dk Msonde amesema baraza hilo halitasita kuwafutia mitihani wote watakaojihusisha na udanganyifu.


Hivyo makala Mtihani wa Taifa kidato cha nne ...Katibu Mkuu NECTA Awaasa Kutojihusisha na Udanganyifu

yaani makala yote Mtihani wa Taifa kidato cha nne ...Katibu Mkuu NECTA Awaasa Kutojihusisha na Udanganyifu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mtihani wa Taifa kidato cha nne ...Katibu Mkuu NECTA Awaasa Kutojihusisha na Udanganyifu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mtihani-wa-taifa-kidato-cha-nne-katibu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mtihani wa Taifa kidato cha nne ...Katibu Mkuu NECTA Awaasa Kutojihusisha na Udanganyifu"

Post a Comment