title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Apokea Ujumbe Kutoka Kwa Rais Kagame wa Rwanda Ikulu Dar es Salaam leo.
kiungo : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Apokea Ujumbe Kutoka Kwa Rais Kagame wa Rwanda Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Apokea Ujumbe Kutoka Kwa Rais Kagame wa Rwanda Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017. Wengine ni Balozi wa Rwanda nchini Mhe. Eugene Kayihura na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi Bw. Issa Mugabutsinze.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda uliowasilishwa kwake na kt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 20, 2017
Picha na Ikulu.
Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Apokea Ujumbe Kutoka Kwa Rais Kagame wa Rwanda Ikulu Dar es Salaam leo.
yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Apokea Ujumbe Kutoka Kwa Rais Kagame wa Rwanda Ikulu Dar es Salaam leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Apokea Ujumbe Kutoka Kwa Rais Kagame wa Rwanda Ikulu Dar es Salaam leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_20.html
0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Apokea Ujumbe Kutoka Kwa Rais Kagame wa Rwanda Ikulu Dar es Salaam leo."
Post a Comment